album cover
Shangaa
album cover
Shangaa adlı parça {albumName} albümünün bir parçası olarak Mbithi tarafından 11 Kasım 2025 tarihinde yayınlandıTwo (2) Pcr - Single
Yayın Tarihi11 Kasım 2025
FirmaMbithi
DilEnglish
BPM
Melodiklik
Akustiklik
Valence
Dans Edilebilirlik
Enerji

Şarkı sözleri

Yeah yeah yeah
Kambaboy Over ear.
Nime observe game nikagundua mnacheza
Saa tisa niko booth huku mamangu anakesha
Nikibadilisha flow nika napandisha rate card
Juu niliassure mshua hataiteseka na pesa
So nikicurse mike lazima inatesa
Kipawa ya pawa ina wapa mapressure
Mistari nagawa ka malaya hajanyesha
Rapper popo nikipoful mlete nitamwonyesha
Budangua alipanda malaika wakashuka
So nawaelewanga nikiona mnashtuka
Me ndio kitu Russia wanaita habrushka
Ka E Sir hangekufa angeskiza mizuka
Siko kwa pitch me ndio na coach game
Me ndo stroke dem nyi mnastalk madem
Minimum lifespan ten plus ten
Booth kanisa naipea past past tense.
Mmezoeshwa mediocre ndio mnashangaal
Naimba naroga tu mnashangaa
Nafika wanatoka wanashangaa
Me nafoka wanaokoka wanashangaa
Mmezoeshwa mediocre ndio mnashangaa
Naimba naroga tu mnashangaa
Nafika wanatoka wanashangaa
Me nafoka wanaokoka wanashangaa simtashangaa
After math ni ya pearl ya harbour
Na separate makababa na wababa
Co-sign ya mtoto wa baba
Nabonga na baba ka mtoto wa baba
Mixed species ya mamba na papa
Feasting marapa na wamanga
Who\'s pissin come hapa vaa Pampers
Unanusia harufu ya mkamba ananyamba
One vai ngui this year
Kama bado hamnijua Mbithi ushaniskia
Me huichora kama listener that\'s a pair
That\'s why Kambaboy over here is so unfair
Solo dolo no label
Better follow my level
Vile naroga nazoza niko na mapepo
Industry imekutana na kijana devoo
Nimanthite mutongoi ndiumuona na ndevo
Mmezoeshwa mediocre ndio mnashangaa
Naimba naroga tu mnashangaa
Nafika wanatoka wanashangaa
Me nafoka wanaokoa wanshangaa
Mmezoeshwa mediocre ndio mnashangaa
Naimba naroga tu mnashangaa
Nafika wanatoka wanashangaa
Me nafoka wanaokoka wanashangaa simtashangaa .
Written by: Eric Mbithi Muloki

Loading...