album cover
Balaa
3
Electronic
Balaa adlı parça {albumName} albümünün bir parçası olarak Delicious Tunes tarafından 30 Ocak 2026 tarihinde yayınlandıNgomani
album cover
AlbümNgomani
Çıkış Tarihi30 Ocak 2026
FirmaDelicious Tunes
Melodiklik
Akustiklik
Valence
Dans Edilebilirlik
Enerji
BPM66

Şarkı sözleri

Ningekua na uwezo
 Ningekua na uwezo wakuvumilia
 Ningekua nayo nguvu
 Ningekua nayo nguvu ya kukufundisha
 Utakavyonipenda aah
 Penzi la taabu tu mi sitoweza, aah
 Mapenzi ya machozi tu mi nimekataa aah
 Kabisa ah
 Ningekua na wakati
 Ningekua na wakati mi ningejaribu
 Lakini umeharibu oooh eeeeh
 
 Ah aaaah ah aaah
 Mapenzi balaa
 Oh aaah, aaah
 Balaa belua
 Eeeh aaah aah
 Mapenzi balaa
 Uuuh yepako eh Ah
 
 
 Umeshinda ukisema baby
 Kazi yangu ni kuzusha daily
 Hapana no! ooh
 Nimekua nikiumia lazima ningekwambia
 Na masaa yamesonga upesi
 Ni crazy vile hapa hakuna kesi no more
 Ah kwaheri papa ni masaa ya kugo
 
 Penzi la taabu tu mi sitoweza aah
 Mapenzi ya machozi tu mi nimekataa aah
 Mapenzi ya taabu tu mi sitoweza aah
 Mapenzi ya machozi tu mi nimekataa aah
 Kabisa aah Eh
 Ah aaah ah aaah
 Mapenzi balaa
 Oh aaah aaah
 Balaa belua
 Eeeh aaah ah aaah ah
 Mapenzi balaa
 Oh aaah aaah eh
 Mapenzi balaa
Written by: Bernt Isak Wærstad, Kasiva Mutua
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...