album cover
Fala
album cover
00:00
00:25
00:30
00:50
01:10
01:15
01:30
02:55
00:00
03:06
Geçtiğimiz 7 Gün
Fala geçen hafta yaklaşık 50 saniye civarında en sık keşfedilen şarkı oldu

Şarkı sözleri

Nikihisi kuumwa
Wewe kwangu ndio dawaa
We una kisu kikali
acha ujilie nyamaa
Wanaosubiri utaniacha
Labda ilie parapanda
Maneno yao tufukie chini
Acha iwaingie dawaa
Ukinigusaga hia
Chochote naakupatia
Hiivi kwanini nalia
Zimenizidi hisiaa
tahira tahira
nieshaakua tahira
penzi halitaki kalamu
ni mate na andikia
Aaah
FALA mi kwako nimeshakua fala
Kamamapenzi niuchawi
Mwacheni anitoe kafara
FALA mi kwako nimeshakua fala
Kamamapenzi niuchawi
Mwacheni anitoe kafara
Utamu kolea
Nashindwa kuonge
Sikuzina sogea
Amkeni wambea
Jamani Rahaaa
mwenzenu maumivu sosiki tena
Balaa
vingine naogopa hata kuvisemaa
tahira tahira
nieshaakua tahira
penzi halitaki kalamu
ni mate na andikia
Aaah
FALA mi kwako nimeshakua fala
Kamamapenzi niuchawi
Mwacheni anitoe kafara
FALA mi kwako nimeshakua fala
Kamamapenzi niuchawi
Mwacheni anitoe kafara
Aaah
Written by: Avan Tz

Loading...