album cover
Shida
6.531
Music
Shida adlı parça {albumName} albümünün bir parçası olarak Ziiki Media tarafından 8 Nisan 2026 tarihinde yayınlandıShida - Single
album cover
Çıkış Tarihi8 Nisan 2026
FirmaZiiki Media
Melodiklik
Akustiklik
Valence
Dans Edilebilirlik
Enerji
BPM89

Müzik Videosu

Müzik Videosu

Şarkı sözleri

Nawaza vipi nijikwamue na home kwetu hakuko fit bado ,
Kipi nifanye nisikwame, walau geto niwe na unga kidgo,
Kwa hili life mpaka utusue na kuna muda utatumika na bado,
Na wanaambiwa wanitazame, maana mii ndo mwenye elimu kidogo,
Ajabu kazi hawazipati hata wenye vyeti asa vipi ntatoboa
Na town nipo miaka kumi hata haileti sijui nini kitanitoa
I’ve been dreaming and waiting for my destiny all my life
I’ve been stressing I’ve been thinking for my self where I messed up
Hivi shida ni kuishia la saba na kama kuna kingine mungu niangalie na wewe
Nawaza shida ni kuishia la saba
Sometimes siyaelewi maisha yanaendaje na mimi
ajabu kuna mtoto wa jirani alipata One hapa naposema yuko tee
Hivi ni nani alosema ndugu ni namba one akiwa nacho lazima akupee
Na huko nyuma nimeacha madogo maana mi ndo mama ndo baba ndo bro
Tunagawana nipatacho kidogo, maana mi ndo mama ndo baba ndo bro
I’ve been dreaming and waiting for my destiny all my life
I’ve been stressing I’ve been thinking for my self where I messed up
Hivi shida ni kuishia la saba na kama kuna kingine mungu niangalie na wewe
Nawaza shida ni kuishia la saba
Sometimes siyaelewi maisha yanaendaje na mimi
Written by: Adam Kayoza
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...