album cover
Matapeli
album cover
Matapeli adlı parça {albumName} albümünün bir parçası olarak BND WORLD tarafından 7 Ağustos 2026 tarihinde yayınlandıMatapeli - Single
Released7 Ağustos 2026
FirmaBND WORLD
BPM114
Melodiklik
Akustiklik
Valence
Dans Edilebilirlik
Enerji

Müzik Videosu

Müzik Videosu

Şarkı sözleri

[Intro]
Da kida kida
Da kida kida
Da kida kida
Da kida
Kida kida
[Verse 1]
Huyo demu anamoka na usiku anakesha bar aah
Unaringa umeng'oa wakati bei chee eeh
Na kama ukipita vaa soksii iii
Kamwili kadogo anabonge la ooh ooh
Hafungi siketi
Anapagawishaga na dede
Amekagaa kimapigo na akikupa we sema ntaka fijo
Usivurugwe na body mchungu chroloquine
Ana matatizo
Huyo ana matukio kaa nae kimakini
[PreChorus]
Hiyo chuma iko wangu wangu mama
Ikiwaka haisimami mama
Imefichama gizani mama
Inapenda misumari
Hiyo chuma iko wangu wangu mama
Inatuwinda masela mama
Kutupanga kinyemela mama
Imefichama gizani mama
[Chorus]
Ogopa matapeli nyumba haiuzwi
Sio maneno mageni apa nchini
Ikishakwenda kwa muganga hairudi
Utakwapuliwa phone Nairobi
Ogopa matapeli nyumba haiuzwi
Sio maneno mageni apa nchini
Ikishakwenda kwa muganga hairudi
Utakwapuliwa phone Nairobi
[Verse 2]
Anajuaga kuchuna
Mizinga mahali pake
Kitandani atakukuna ila
Hilo pochi mali yake
Anataka madusco
Atakupukutisha mfuko
Utabaki mtupu
Usinune ulipewa utupu
[PreChorus]
Wangu wangu mama
Ikiwaka haisimami mama
Imefichama gizani mama
Inapenda misumari
Hiyo chuma iko wangu wangu mama
Inatuwinda masela mama
Kutupanga kinyemela mama
Imefichama gizani mama
[Chorus]
Ogopa matapeli nyumba haiuzwi
Sio maneno mageni apa nchini
Ikishakwenda kwa muganga hairudi
Utakwapuliwa phone Nairobi
Ogopa matapeli nyumba haiuzwi
Sio maneno mageni apa nchini
Ikishakwenda kwa muganga hairudi
Utakwapuliwa phone Nairobi
Written by: Reuben Ibrahim Toy
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...