album cover
Mapenzi
49
Hip-Hop/Rap
Mapenzi adlı parça {albumName} albümünün bir parçası olarak Tgun Tozzy tarafından 16 Ağustos 2026 tarihinde yayınlandıMapenzi - Single
album cover
Çıkış Tarihi16 Ağustos 2026
FirmaTgun Tozzy
DilEnglish
Melodiklik
Akustiklik
Valence
Dans Edilebilirlik
Enerji
BPM72

Müzik Videosu

Müzik Videosu

Şarkı sözleri

Haya mapenzi mapenzi mapenzi mapenzi
Yanaweza fanya uumie roho
Utoe machozi kama mtoto
Sehemu ya yes useme no ni mapenzi
Nimapenzi mapenzi mapenzi mapenzi
Yanaweza fanya ukalia utoe machozi kama mtoto yani kama mtoto ni mapenzi
Tatizo siyo kupenda wala kuzama kwa mtoto wa mtu,
Tatizo kwamba unampenza arafu anaona sio issue
Na mbaya zaidi umezama mazima mwenzako kaingiza mguu
Ni mguu wa kutoka arafu anangoja wewe ukisema suu
Na mbaya zaidi ni kwamba
Hakusema kqma hajakupenda
Toka kipindi cha kwanza
Ambacho ulisema kwamba una mpenda
Na wala hakukupa kalenda
Kwamba utachoka mwishoni utaenda
Unazama mwisho mpaka unapeleka nyumbani kwao mshenga
mapenzi ni uchizi yanabadilika dakika mbili
Unaweza kua na akili keshao ukawa ni chizi kamili
Tizama una mpenda mtu yani mpaka mna zini
Upendo unazidi unabeba mimba mwisho anakuona wa nini
Anaweza kupenda kwa this na kumbe mwenzake umempenda kwa dhati
Unamsogeza mkae pamoja na nguo mshare kabati
Unaenda kwenye harakati ili nyumbani pazidi kua safi,
Kurudi hom unakuta kabeba kila kitu hadi kabati
Haya mapenzi mapenzi mapenzi mapenzi
Yanaweza fanya uumie roho
Utoe machozi kama mtoto
Sehemu ya yes useme no ni mapenzi
Nimapenzi mapenzi mapenzi mapenzi
Yanaweza fanya ukalia utoe machozi kama mtoto yani kama mtoto ni mapenzi
Maumivu yanaweza kuota muda wowote hata kama kiangazi
Na haya chagui uko na Mu baba au uko na lishangazi
Kipendacho roho hula nyama mbichi bwana moyo kibanda wazi
Mara gafra friends anamchukua na bado hujapata mtaji
Mara paa una mpenda mtu
Unasema utulie na huyo mtu
Unaanza kumuomba hadi Mungu
Ubakie peke yako asiongeze mtu
Kuja kushtuka hauko peke ako kawapanga mpaka rafiki zako ye ni mtu wa kila mtu
Anaweza kupenda kwa this na kumbe mwenzake umempenda kwa dhati
Unamsogeza mkae pamoja na nguo mshare kabati
Unaenda kwenye harakati ili nyumbani pazidi kua safi,
Kurudi hom unakuta kabeba kila kitu hadi kabati
Written by: Tgun Tozzy
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...