album cover
Upweke
4.300
Afro-Beat
Upweke adlı parça {albumName} albümünün bir parçası olarak Once Again tarafından 26 Ağustos 2026 tarihinde yayınlandıUpweke - Single
album cover
En Popüler
Geçtiğimiz 7 Gün
01:35 - 01:40
Upweke geçen hafta yaklaşık 1 dakika and 35 saniye civarında en sık keşfedilen şarkı oldu
00:00
00:35
00:40
00:45
01:15
01:40
01:55
02:10
02:20
02:35
02:40
02:55
03:00
03:15
00:00
03:22

Müzik Videosu

Müzik Videosu

Şarkı sözleri

[Verse 1]
Nimeshachoka kua alone
Nitaanzisha maandamano
Wengine wanapata mi sipati
Nakosaje mahusiano
Ama nipake mafuta cologne
Ninukie vimanukato
Kama nitakosa hii haki
Hakutakua na maridhiano
I wanna say
[PreChorus]
Kuna wakati nakuaga na msongo
Mi mawazo yani mingi mingi
Unyonge kama kuku wa mdondo
Lini nitapata ushindi shindi
Yani mpaka nionekane nina kinyongo
Muone nina wivu mimi
Au ndio mnasema huruma sio malezi
So let me sing sing
[Chorus]
Upweke
Upweke
Upweke utaniua upweke
Kweli ndo nakosa mtu yani
Au kusudi mwenzenu niteseke
Jama upweke
Upweke
Upweke utaniua upweke
Kweli ndo nakosa mtu yani
Au kusudi mwenzenu niteseke
[Verse 2]
Nipate mmoja tu wa kunihudumia
Binadamu wote hawa
Tukikerana nianze kumlilia
Na madeko deko sawa
Kuhusu malavidavi nitakamia
Nitazingatia power
Nitajipa ukandarasi uinjinia
Dokta nitatoa dawa
[Bridge]
Lonely I'm so lonely
Lonely I'm so lonely
Lonely I'm so lonely
Lonely I'm so lonely
[PreChorus]
Kuna wakati nakuaga na msongo
Mi mawazo yani mingi mingi
Unyonge kama kuku wa mdondo
Lini nitapata ushindi shindi
Yani mpaka nionekane nina kinyongo
Muone nina wivu mimi
Au ndo mnasema huruma sio malezi
So let me sing sing
[Chorus]
Upweke
Upweke
Upweke utaniua upweke
Kweli ndo nakosa mtu yani
Au kusudi mwenzenu niteseke
Jama Upweke
Upweke
Upweke utaniua upweke
Kweli ndo nakosa mtu yani
Au kusudi mwenzenu niteseke
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...