album cover
Hasnat
album cover
00:00
00:05
00:10
00:15
00:20
00:25
00:45
00:55
01:30
01:45
01:50
01:55
02:05
02:15
00:00
02:25
Geçtiğimiz 7 Gün
Hasnat geçen hafta ilk birkaç saniyesinde en sık keşfedilen şarkı oldu

Müzik Videosu

Müzik Videosu

Şarkı sözleri

Ilikuwa ni siku ambayo
Was going bad
Mimi na mchumba ambaye alinipenda kisiri Hasnat
Hatukuwahi kukutana kimwili
Mikakati ilikuwa akimaliza shule
Ndo nipate hanjumati
Kwa hiyo sijui mihemko iliingia kati
Au ni shetani aliplay part maana ni kitu
Kama miaka mitatu hapo kati
Tunaishi kiuchumba hatujawahi hata kutouch
Siku hiyo alinitext Mulla Obo nataka ndizi
Nikashtuka huyu mtoto ameingiwa na ibilisi
Nikamjibu mi mtu wa amani sasa mbona unavunja peace
Akaniambia ukiishi pwani lazima utaonja ngisi
Sikuwa nataka sikuwa na haraka na yeye
Japo yapata miaka na nina moto na yeye
Sikutaka kuvuka mipaka niliforce anielewe
Mwisho akasema nikikataa atafanya anachojua yeye
What
Akasema nitakacome hata kama kuna jam
Uvumilivu ukanishinda kwa maana mimi pia binadamu
Nikamwambia ukifika utanicheck kwa Nasibu
Maana simu yangu itazima ukija ukinikosa how come
Nikaanza kutandika kitanda
Nguo chafu weka kwenye begi
Puliza mapafyumu mtoto akija hewa fresh
Nikaanza kumwagizia Chanda chipsi kuku na sausage
Ili akila afurahi
Mara nikasikia
Hodi
Ameshafika tayari
Japo moyoni mwangu nilijua hii hatari
Nikamwambia apite ndani nimfuatie maji dukani
Akadai nifanye fasta maana yupo taabani
Haikupita sekunde ni punde niko dukani
Baada ya muda mchache nikawa narudi ndani
Njiani nikiwa nawaza labda alichoniambia ni utani
Huenda amekuja nimfunze machache ya darasani
Ile bubaa nafungua mlango
Huyu hapa
Ni kwamba kitambo tayari nguo alishavua
Mara ngungaaa buti la mgambo
Hawa hapa
Wako na mamake na wengine nisiowajua
Nikaambiwa uko chini ya ulinzi na usifanye chochote
Mtoto bado anasoma vipi mko chumbani wote
Akaulizwa Hasnat japo aeleze chochote
Mwisho alichojibu hatujafanya chochote
Ikabidi nifungwe pingu mdogo mdogo pia aibu
Kichwani mawazo kuhusu msala ulionisibu
Na kabla sijakabidhi simu naomba text ya Nasibu
Mwanangu nilikutext wanakuja ila sema hukujibu
Bogu
Leo mguu wa kuingia ndani
Written by: Isaya George Mwogofi
instagramSharePathic_arrow_out􀆄 copy􀐅􀋲

Loading...