album cover

Cheche

R&B/Soul2026
album cover
Cheche adlı parça {albumName} albümünün bir parçası olarak Heri Muziki tarafından 25 Kasım 2026 tarihinde yayınlandıMimi Ni Muziki
Yayın Tarihi25 Kasım 2026
FirmaHeri Muziki
DilEnglish
BPM85
Melodiklik
Akustiklik
Valence
Dans Edilebilirlik
Enerji

Müzik Videosu

Müzik Videosu

Şarkı sözleri

nilikupenda tangu mtoto
nitenganishwe na nani nitakufata uendako sitosimama njiani
huwa nazani hii ni ndoto
cause am in love with the
coco coco mimi kurwa
wewe dotto niki kukosa
tumbo joto joto mmm
mmmh mi nampenda mimi
niwake mi namtaka mi
siku zote she is beautiful
mmh mmhhh ofcourse
she is beautiful mmnh
mnh
twende sawa mikwako
cheche cheche sawa sawa
mi moyo cheche cheche
sawa sawa x2
nime amua nikukamate
natena nisikuache mikono
yangu uishike napopote
unifate nimeamua
nikukamate natena
nisikuache mikono yangu
uishike na popotee unifuate
mi nampenda mimi ni wake
mi namtaka misiku zote
she is beautiful aha ahaan
ofcourse she is beautiful
twende sawa mi kwako
cheche sawasawa mimoyo
cheche sawa sawa mi kwako
cheche sawa sawa x2
nakupenda you already know
nakutaka will never let
you go twende sawa
mi kwako cheche sawa
sawa mi moyo cheche
sawasawa

Shazam Alt Bilgi

Dil seç:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Bizi Takip Edin

Loading...