Şarkı sözleri

Jambo moja nimetamani Sio fedha wala dhahabu Bali neno toka kinywa chako Nipate uhai tena Manamalia dunia ninayo Sioni raha pasipo wewe Roho yangu yakuonea kiu Kama ya tamaa nilivyo maji Moyo wangu wakuhitaji Nena nami bwana Jehova kama siku za kale Fufua roho yangu nikuhisi Usiyebadilika na wakati Nakuhitaji kuliko uhai Maana sifa kubwa, mali na fedha Bila wewe yote ni bure Eloi ni wewe u nguvu zangu Pumzi uhai msaada wangu Kama si wewe mi singeishi Nakuhitaji kila wakati Tembea nami eh Embenezzer Hadi mwisho wa dahari Nataka nikujue Embenezzer Nikuelewe vyema Eloi Natamani uniguse tena Nahitaji uwepo wako Wewe wajua siri zangu zote Uchungu za moyo wangu wa jali Waiiiielewa nafsi yangu vyema Nena nami bwana
Writer(s): Paul Mwai Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out