Lyrics

Switch s2kizzy baby Habari oo habari habari habari habari oo habari oo Habari habari habari habari ooo Mpenzi ni kama una demu mmoja wapenzi ni kama una demu wawili Kucheat ni kama una demu watatu ni vita ukishikwa na demu wanne Na mpira kuvua ni game ya tano utelezi ndo utamu wa amri ya sita Vunja days kwa demu ni siku ya saba ni hatari ukipiga ile siku ya nane ubaba ni baada ya miezi mitisa mfukoni hauna hata shilingi kumi amesafiri baby hafu ya mwili nayo inazidi shamiri kiraruraru kinapanda huelewi kiraruraru hakishuki huelewi Leo kumekucha mapenzi tena watu wanauza roho shtuka mapema
Writer(s): Salmin Kasimu Maengo, Nickson John Simon, John Simon Mseke Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out