Lyrics

(O-oo, o-oo) (O-ooh, moyo) (Oh-oh moyo uwo) Nilipom-miss hakutokea, ili kunigea kiss Au kuni-hug, hakuni-care huyu binti, aliendelea kunimwaga Sijawahi penda kama hivi lakini mapenzi yakani-ditch Nili-survive vipi sikumuita first love bitch Ninahisi, nilipata vibe ya kuipa truth a facelift Haupati love bila ya michuzi hauna cash Fid Nikakesha ndani ya booth, Huyu na yule ikawa first hit Show kila mkoa haikosi groupie kwa guest list Life ikawa poa, lakini u-player siuwezi Fid Sikufichi inaboa ile mbaya kuvaa jezi nyingi Plus, hawara anapasha kitanda moto Na haifanyi upweke ukaniacha kiasi cha kumganda huyu mtoto Na kuimba mahaba niue, with a smile on my face Haijalishi kama ana uzuri wa kum-turn hadi gay straight Mapenzi ni kama ligi ya mbuzi striker anaweza potea Wengi wanawa-cheat na kuwaudhi wachache wanao-play fair Mapenzi ni matamu 'nahofia kuumizwa moyo, ye-yeye (kuumizwa moyo) Nashindwa kujaribu, roho inaniuma sana Roho inaniuma, eh Roho inaniuma, iya Roho inaniuma, roho inaniuma Roho inaniuma, iye, yeah, yeah Ninahofia kuumizwa moyo Bila hata kupewa pole Dudu liumalo, kwanini nilipe kidole? Ooh moyo (moyo), roho inaniuma mie Dear hustle, ni wazi penzi lako ni safi Na huniacha happy kila wakati kubaki nawe ni ki-smart baby Kipi sipati? Ninahiti kwa chati waliotashtiti mziki haunilipi Wako wapi? Waniache, mkate nipate baby Money makes a man, lakini love ni hustle You know who you love but you don't know who loves you (who loves you) Wakunifanya niwe Baraka kama Michelle Tabasamu zaidi ya wafungua mlango wa 5-star hotel Dawa sio chungu ndugu, chungu maradhi Haki ya Mungu tena, chuki humchoma anayeihifadhi Kumsahau siwezi, ni sawa na kumkumbuka nisiyemjua Mapenzi yalifanya nikaumbuka, ninachoshukuru hayakuniua Mapenzi ni matamu 'nahofia kuumizwa moyo, ye-yeye (kuumizwa moyo) Nashindwa kujaribu, roho inaniuma sana Roho inaniuma, eh Roho inaniuma, iya Roho inaniuma, roho inaniuma Roho inaniuma, iye, yeah, yeah (roho inaniuma)
Writer(s): Fareed Kubanda Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out