album cover

Nadekezwa

177,244Afro-Pop2018
album cover
00:00
00:10
00:20
00:25
00:35
00:50
01:00
01:25
01:50
02:15
02:20
02:30
02:35
02:45
02:50
03:10
03:15
03:25
03:30
00:00
03:48
Past 7 Days
Nadekezwa was discovered most frequently at around 1 minutes and 45 seconds into the song during the past week

Lyrics

[Intro]
Hohohoo hohoo hoho
Hohohoo hohoo hoho
[Verse 1]
Salamu ulizo nitumia ah, zimenifikia ah
Nipo salama hata usijali
Nalishwa vitamu, vinono najilia ah
Biriyani yangamia ah
Penzi twadalikana poo kidali
[Verse 2]
Nimekusahau nakumbuka tu lako jina
Kidogo angalu umengoa mizizi sio kukatashina
Penzi wakapanda dau ah, mjini baba pesa fitina
Mimi ukanidharau, visenti haba mfuko umechina
[PreChorus]
Nando uwezo wangu ulipo ishia (Ningekupa nini tena)
Kula yangu yakupapasia (Hukumeza ukaatema)
Mimi sina gali (Ningekupa nini tena)
Oohoohoo (Hukumeza ukaatema)
Eeeheehee
[Chorus]
Nadeke-nadekezwa
Nadeke-nadekezwa
Nadeke-nadekezwa
Nadeke-nadeke
Nadeke-nadekezwa
Nadeke-nadekezwa
Nadeke-nadekezwa
Nadeke-nadeke
[Verse 3]
Ndani mashamu-shama mtoto kanikabiri ooh
Hadi na come come kuminambili arufajiri
Na nishamvesha nyota cheo chake kikubwa cha mapenzi
Kanijaza kanichota kanishika pabayaa
[Verse 4]
Nakutadharisha simu zausiku punguza
Unahatarisha penzi langu moto kuunguza
Nishakusahau nakumbuka tuu lako jina
Kidogo angaluu umengoa mizizi sio kukatashina
[Verse 5]
Penzi wakapanda dau anh
Mjini baba pesa fitina
Mimi ukanidharau
Visenti haba mfuko umechina
[PreChorus]
Na ndo uwezo wangu ulipo ishia (Ningekupa nini tena)
Kula yangu yakupapasia (Hukumeza ukaatema)
Mi' sina gali (Ningekupa nini tena)
Oohoohoo (Hukumeza ukaatema)
Eeheehee
[Chorus]
Nadeke-nadekezwa
Nadeke-nadekezwa
Nadeke-nadekezwa
Nadeke-nadekezwa
Nadeke-nadekezwa
Nadeke-nadekezwa
(Nadekezwa) Nadekezwa
Nadeke-nadeke
Written by: Mbosso

Shazam Footer

Select language:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Follow Us

Loading...