Lyrics

Nyama zetu za ulimi Zikikutana asali bonyea chini Changama kama tayari Leo tule nini Miogo ya koko Kwa kachumbari si unajuanga mimi Kitandani huwa hodari Kama umenironga eeh Mganga fundi mama Umeniweza, nilichomeza mimi sijatema Chumvi kwa kikopa Wali maini ndizi nyama Umenilegeza Ukinigusa tu natetema Shuka kifuani baby Naomba nipate supu Ya nyama laini Kama mapupu Yale ya gizani baby Nje tusiyaruhusu Kwa majirani Wambea wakina rufufu Mhhh aah (alelele) Inzi wangu kidonda ning'ong'ozoe (Alelele) Mhhh aah (alelele) Moyo wangu udongo ubongonyoe (Alelele) Asubuhi niamshe kabla ya kwenda kazini... jogingi Kijasho kitoke Ukihisi nachoka piga filimbi Oh unikamate Kama nayumba shika ngingi Wachefukwe mate Maembe mabichi wape mbilimbi Utamu wangu mimi Wajua wewe, penzi tubane na pini Iwe siri yetu wenyewe, Mhindi wa kusini Mwenye mapenzi tele Kibiti hakuna madini Tukawinnde tetele Shuka kifuani baby Naomba nipate supu Ya nyama laini Kama mapupu Yale ya gizani baby Nje tusiyaruhusu Kwa majirani Wambea wakina rufufu Mhhh aah (alelele) Inzi wangu kidonda ning'ong'ozoe (Alelele) Mhhh aah (alelele) Moyo wangu udongo ubongonyoe (Alelele)
Writer(s): Mbosso Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out