Lyrics

Na anajiamini Halali nje analala na mimi Ndani ndani Wengine wa nini, yeiye Anadata anavyopewa na mimi Chumbani chumbani Una (una una) Unanichanganya (una una) Unavyonifanya (una una) Unanichanganya sana Tena ukinigusaga Na kunipazaga Unanichanganya sana Ukinigusa napagawa kote Unanichanganya unavyonipa vyote Ukinigusa napagawa kote Unanichanganya unavyonipa vyote Ukinigusa napagawa kote Unanichanganya unavyonipa vyote Ukinigusa napagawa kote Unanichanganya unanichanganya Weka niweke wee Weka niweke wee Weka niweke wee Weka niweke wee Hata kama nitakosea Usininunie beiby, niambie Bana si unajua mwanadamu Niambie Na unavyoninogesha ukija kuacha Mwenzako nitajutia Utanitoa roho, utanitoa roho Habari za mjini kwani nini wee Natoka na mimi kwani nini wee Mchezo mchezo na baby wa mimi wee Tulipotoka wanajua ni nini wee Sema ukweli nishampata, nishamnasa Alafu sasa na kwenye bedi mtamu haswa Chuma mimi ila sumaku ishamnasa Pelekeni angaza huo wenu ushauri na sasa Anavyozungusha hicho kiuno Mimi ndo nazidisha miguno Wanapataka sasa unavyowapatia michuno Kwani hawapati usingizi wakisikia miguno Una (una una) Unanichanganya (una una) Unavyonifanya (una una) Unanichanganya sana Tena ukinigusaga Na kunipazaga Unanichanganya sana Ukinigusa napagawa kote Unanichanganya unavyonipa vyote Ukinigusa napagawa kote Unanichanganya unavyonipa vyote Ukinigusa napagawa kote Unanichanganya unavyonipa vyote Ukinigusa napagawa kote Unanichanganya unanichanganya Weka niweke wee Weka niweke wee Weka niweke wee Weka niweke wee Umenishika pabaya Umenishika pabaya (oooh yeah babe) Umenishika pabaya We bwana ni mbaya Umenishika pabaya Umenishika pabaya (aaah aah) Umenishika pabaya We dada ni mbaya Una una, una una Una una, una una
Writer(s): Marianne Namshali Mdee Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out