Listen to Bam Bam (feat. Isha Mashauzi, Big Jahman & Rich Mavoko) by Fid Q

Bam Bam (feat. Isha Mashauzi, Big Jahman & Rich Mavoko)

Fid Q

Hip-Hop/Rap

46,313 Shazams

Lyrics

Unanipa raha usiache nipa raha, leta raha Unamfikisha hadi Zanzibar shamba Umevimbisha kichwa cha jimake cha nanga Soma picha picha wazi umejipanga Hupendi feature feature mzazi nimesanda Hauniuzii mbuzi kwa gunia (nie) Haunimei juzi umenizidai (dia) We mamie fundi naujulia (lia) Hautumii nikawa na gundi unanipatia Mmmh hakika umenifaa Siwezi pita mie nitakaa Na ukiniita bebi mimi najaa Siwezi bisha nitawa kichaaa Mimi nimeona wengi Ila me kwako nimefika wewe Mie kwako sijiwezi Lako penzi dawa yangu beiby Mimi na wewe dam dam, dam dam Mimi na wewe dam dam Mimi na wewe dam dam Mambo yetu bam bam Mimi na wewe dam dam, (mimi na wewe) Mimi na wewe dam dam Mimi na wewe dam dam Mambo yetu bam bam Ni kama Rambo na Julieti (na Julieti), mi na wee Mficha siri zangu nyeti (zangu nyeti), wakunyumba wee Hodari wa mapenzi (aaah) jicho nusu mwezi ukimuona Si kigundu mtembezi, kutoshinda ndani ameng'ona Kidudu mapenzi kweli, nani ananinyevua Aah mapenzi ya kweli, kwako ndo nimeyajua eeh Mimi nimeona wengi Ila me kwako nimefika wewe Me kwako sijiwezi Lako penzi dawa yangu beiby Mimi na wewe dam dam, dam dam Mimi na wewe dam dam Mimi na wewe dam dam Mambo yetu bam bam Mimi na wewe dam dam, (mimi na wewe) Mimi na wewe dam dam Mimi na wewe dam dam Mambo yetu bam bam Ninachokupendea huna makeka, huna papara (aaaah) Unanipa raha usiache nipa raha, leta raha (aaaah) Ninachokupendea huna makeka, huna papara (aaaah) Unanipa raha usiache nipa raha, leta raha (aaaah) Unanipa raha kunakuzi Hauna njaa tamaa hauna makuzi Unanifahamu mama umekaa ka uchuji Ungenikataa ningekaza uzi Kabisa kwako nimefika mambo ni bam bam Hakika kila ukiniita mimi nakam kam Naninapoitika wazo umeshika hela jam jam Na kwa sifa nalipachisha kwa zam zam Isitoshe hauniboi haunichoshi Vipi nikose kuenjoy na hapatoshi Bosi we binti vichungu haunilishi Na sisi si wavumbua jumbu ila ni wapishi Mimi na wewe dam dam, dam dam Mimi na wewe dam dam Mimi na wewe dam dam Mambo yetu bam bam Mimi na wewe dam dam, (mimi na wewe) Mimi na wewe dam dam Mimi na wewe dam dam Mambo yetu bam bam Unanipa raha usiache nipa raha, leta raha
Writer(s): Fareed Kubanda Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out