Music Video

Lava Lava Ft Mbosso - Basi Tu (Official Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Credits

PERFORMING ARTISTS
Mbosso
Mbosso
Vocals
Lava Lava
Lava Lava
Lead Vocals
Lizer Classic
Lizer Classic
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Lava Lava
Lava Lava
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Lizer Classic
Lizer Classic
Producer

Lyrics

(Ayolizer) Siku hizi hanipigii Hata akikuta missed call zangu Simu hashiki na akishika Anauliza nani mwezangu Mara anakata Mara simu hewani haongei Namaliza vocha Anajizima data eti amepanda bei Kunifanya ndodocha Najitumisha message Mara mbili mbili Anafungua anasoma Majibu hayarudi eh eh eh Ila kwa Whatsapp page Zaonyesha tiki mbili Kujifanya hajaona Ili mradi kusudi na kunidharau Ananiringia ringia Ananiringia ringia Siku hizi ananiringia ringia Ananiringia ringia Anajua nampenda (Basi tu) Anafanya kusudi kuniumiza (Basi tu) Ili mradi kuniliza (Basi tu) Anafanya kusudi kuniumiza (Basi tu) Ili mradi kuniliza Aah ...aah ...aah Na dhalia hainaga suu Yaliyosemwaga ya kale Kufurahia kunguru nafuu Wakigombana mbalale Moyo unawaka moto kifuu Yanichoma maumivu mshale Enyi malaika mlio juu Shusheni amani itawale Nayamaliza madhehebu Kusomewa madua Mbolea imekausha mbegu Imeshindwa chipua Mtazame nampenda kwa sana Leo unanifanya mi nalia Ina maana ndo nimechokwama Au jamaa sina fungu kwenye dunia Najitumisha message Mara mbili mbili Anafungua anasoma Majibu hayarudi Ila kwa Whatsapp page Zaonyesha tiki mbili Kujifanya hajaona Ili mradi kusudi na kunidharau Ananiringia ringia (Ananiringia) Ananiringia ringia (Ananidengulia) Siku hizi ananiringia ringia Anairusha rusha roho yangu Ananiringia ringia Anajua nampenda (Basi tu) Anafanya kusudi kuniumiza (Basi tu) Ili mradi kuniliza (Ila basi tu) Anafanya kusudi kuniumiza (Basi tu) Ili mradi, ila nenda Nenda mwambie asante Mwambie asante Nenda mwambie asante Mwambie asante Nenda mwambie asante Mwambie asante (Kanifunza maumivu nilikuwa siyajui) Nenda mwambie asante Mwambie asante (Ustahimilivu nisilipize uadui) (Kwa Mix Lizer)
Writer(s): Idd Abdul Juma Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out