Music Video

Lava Lava - Wale Wale (Official Music Video)
Watch {trackName} music video by {artistName}

Featured In

Credits

PERFORMING ARTISTS
Lava Lava
Lava Lava
Lead Vocals
COMPOSITION & LYRICS
Lava Lava
Lava Lava
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Manster Madness
Manster Madness
Producer

Lyrics

Haaaa! haaaaa! Naumwa nina maradhi, nipelekeni hospiyalini. Mwenzenu naumwa moyo umekufa ganzi, nimechoka kunywa kwinini. Nahisi ukichaa nusu utahira uchizi, naona kinyama zongo. Niliyavagaa lami nikaipiga mbizi, ikanipasua ubongo uboongo. Angeniambia basi, tungeachana kizuungu, Ningempa nafasi, kuliko kutupanga maafungu. Nisinge ghasi, japo ni nguumu machungu. Chanya na hasi, anapangaga Mungu. Kibatari kazidisha tambi penzi limelipuka, Ye anachiti haogopi dhambi hana ruuka ruka. Moyo kaupiga bambi umeshateuka, Popote anaweka kambi kutwa anachepukaa. yanii Ndo Wale wale, wanaokujaga kwa tafadhali nakupenda. Wale wale, wakimaliza shida zao wanakwenda. Ndo Wale wale, eti hoo nilipotoka nilitwendwa. Wale wale, kumbe ni waongoo waongo. Ooh nenda umwambie, mapenzi hayanajagili yanaumiza. Tena mwambie,kuna walio matajiri washalizwa. Usimfiche mwambie, mapenzi hayana utabiri si miujiza. Fanya mwambie, mimi si wakwanza kuumiiizwaaa. Yaliwatesa vikongwe, tulisoma vitaabuni. Nami yamenipa mazonge, najikaza kisaabuni. Sawa mimi ni mnyonge, damu yangu ya kunguniii. Mi fungu la tatu kibonde, mwenzangu laa kumii. Angeniambia basi, tungeachana kizuungu. Ningempa nafasi, kuliko kutupanga mafungu. Nisinge ghasi, japo ni ngumu machungu. Chanya na hasi,Yote anapangaga Mungu. Kibatari kazidisha tambi, penzi limelipuka. Ye anacheat haogopi dhambi, anaruka ruka. Moyo kaupiga bambi, umeshatueka. Popote anaweka kambi, kutwa anachepukaa yaani. Ndo wale wale, wanaokujaga kwa tafadhali nakupenda. Wale wale, wakimaliza shida zao wanakwenda. Ndo wale wale, eti hoo nilipotoka nilitendwa. Wale wale, kumbe ni waongoo waongo. Mwache afanye anachotaka, hanikomoi wala hanikomoi. Sishtuki hata, hanikomoi wala hanikomoi. Sina hofu sina mashaka, hanikomoi wala hanikomoi Bure anatapatapa, hanikomio wala hanikomoi. ...End...
Writer(s): Idd Abdul Juma Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out