Lyrics

Nafunga macho nikijaribu hata ku-meditate So hard nahitaji lazima ni-concentrate Niliyopitia hayajanifundisha mi ku-hesitate Siwezi laza mguu chini kama home hapako fresh Yes! Sometimes lazima u-force ndio utusue And that;s the way you learn how you've got to do it Kuna wakati unaweza hata kuwa insane Maana hakuna wa ku-blame its a shame bora tuu uuchubue Smoking them doobie tunahitaji hata ku-get away Tukiwa maskani tuna imani we gonna find a way Time to get money nyumbani wa-eat my niggas grab a plate Washkaji tunatokea street thats why we never scared Living this life and you know we never tap out Tukiwa stu' ujue its booming like trap house It's the life we choose wala hatujui jinsi ya ku-chase clout Workin day and night till we pass out Ukicheki home hakujawahi kuwa sawa Ukiwa mzembe ndio unaweza ukapagawa You gotta learn how to fly bila ya mbawa Coz wengine waliishia kula madawa Huh! hey! huh! Bounce! Bounce! Bounce! Bounce! Huh! Bounce! Huh! Ukiniona natoka ghetto nakwenda ghetto Maisha ni ruff ndio maana hatujawahi ku-settle Living this life I can't even fuckin describe Matter of fact even when the sun shining it ain't yellow Huh! Jua linawaka hata uvae kapero Hali ni tata siku hizi Hadi laki ni kama jero Na unaweza kuuma meno mambo yapo tight Inabidi ku-strive ili u-survive tuu kama camel Na haya maneno ni zaidi ya kuwa juu ya instrumental Maana kachaa nishadata nawaza kutafuta menu Na hali yangu ya maisha naijua mwenyewe tuu ninavyokaa Maana hapahapa Nina demu anakaribia kuzaa Daah!! Mtu mwengine angeweza kuikataa Look around at my city nilipokulia dar Alotta niggas from here hawakufanikiwa na hata waliofanikiwa its clear they went thru alot Now who Am i ndio kwanza naingia 25 I wonder how its gonna be like nikifikia 35 I gotta make a move i gotta do this now Nkizembea nika-snooze nitakuwa clown Baby Mama Ana-complain Chumba kimoja cha kapanga na baby is on the way Mi najipanga tuu ili mambo yatunyookee Ila Yeye kuna wakati anahisi kama mi nna-play Namwambia bae just wait tusiache ku pray coz hey! Usione tuu watu wana slay ukahisi wako happy Watu wanavyoishi these days ni zaidi ya actin Sometimes inabidi uishi ka-slave mambo yawe safi
Writer(s): Rashid Said Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out