Lyrics

Straight to the pint to tha Straight to the point to the point no faking huh Straight to the okay no faking Take it yeah look Straight to the point to the point no faking Never regret steps im taking Utaniona chizi about risks im always taken Break them rues some rules were meant for breaking Yeah street life we born with it Hatujui kuomba tukihitaji we go and get it Hivyo ndivyo we learned aint no kidding Real cold hearted niggas with no feelings Tunachoamini the main focus is to stay focus Nishapuyanga kinoma nusu niwe fucking hopeless Katikati ya jiji bila ya msaada Grew up in this bitch without my father Kwa mama ilikuwa shida so ikabidi tuu Hata secondary sikufika mi nika quit school Ndugu waliona tumesha fail Baada ya mirathi hata sisi tukaona kweli Yeah i was young wakihisi mi ni fool Kwa kuwa nilikuwa mtoto peke yangu wakadhani it was cool Wajomba walieuka kuwa matapeli Ili mambo yao yakae tuu kwenye rail Listen Umri unakwenda nishakariri now Still remeniscing on them days i was really down Kitu kimoja sintosahau I told my mama ipo siku tutasahau Said that we never gonna make it Only God knows how we made it Wengine binadamu kama mimi So I aint gotta worry about shit Said that we never gonna make it Only God knows how we made it Wengine binadamu kama mimi Dont give a fuck if you talk shit about me Bout me Bout me Bout me I do this for my mama whatchu talking bout me I dont even know how to rest round hii Fuck you haters whatchu talking bout me Look huh Kitu Pekee unapaswa ukitambue Maisha yalikuwa magumu nilitaka tujikwamue Na hakuna maisha ya haraka lazima ukamue Tofauti ya pale ulipo cha kwanza inabidi ukuwe Huh na ukuwaji nnaosema ni tofauti ya age Ni zaidi ya kitabu with alotta pages Kufika ni lazima upitie stages Gotta let your vision be outragious Inspiration is gettin hard to fake it Concentration is never hard to break it Kama ingekuwa ni uoga tungehisi tumesharogwa maana maisha tulioyaona is so hard to make it Ilifikia wakati tukaona kama ni mzaha Maisha yalichange ma hakujua ingeweza happened like that Alikosa usemi at the moment alikuwa ameduwaa Shida nyingi nusu kukata tamaa we say Alhamdulillah Tunashukuru mungu coz sasa imekuwa tofauti Mwanzo yalikuwa machungu tulitamani hata umauti Teana ile time tuliyotengwa na familia Hakukuwa na mtu yoyote wa kutusaidia Umri unakwenda nishakariri now Still remeniscing on them days i was really down Kitu kimoja sintosahau Kipindi kile wale wote waliotudharau shit Said that we never gonna make it Only God knows how we made it Wengine binadamu kama mimi So I aint gotta worry about shit Said that we never gonna make it Only God knows how we made it Wengine binadamu kama mimi Dont give a fuck if you talk shit about me Bout me Bout me Bout me I do this for my mama whatchu talking bout me I dont even know how to rest round hii Fuck you haters whatchu talking bout me Bout me Bout me Bout me I do this for my mama whatchu talking bout me I dont even know how to rest round hii Fuck you haters whatchu talking bout me
Writer(s): Rashid Said Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out