Lyrics

Ah, speaking from my heart eh Baby can I tell you my mind eeh? Mmmh you know you own my heart eh Baby captivated my mind eh Aah, we ndiye jua langu Mchana wangu nasubiria We kivuli changu Popote nawe natembea We baraka yangu Ndo siku zote niombea Shika mkono wangu Safari ndefu inangojea Nipende nikupende Tupendane my love Nibebe nikubebe Tubebane Sweet darling aah Darling, sent from heaven Sweet darling Mimi ndo chada we pete yangu mama Darling, sent from heaven Ni wewe muucha wanje humurikila Ona tumekutana hadi tukafaana Tukapendana hadi tukafanana Mimi kukupenda ndio yangu taswira Sweetie sweetie basi tuwe na subira Malezi yako bora, pia yananifaidi Yananifanya kujihisi mwenye Bahati Nakupenda saaana unajua darling Mimi na wewe kam pete na kidole Sweet darling, darling Sweet darling, darling
Writer(s): Kelvin Kioko Bahati Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out