Lyrics

Naimba toka motema ooh baby usije nitema Naimba toka motema ooh baby usije nitema Baby I never thought they'd come a day Ninge fall in love like this I never thought they'd come a day Ninge fall in love like this Baby I never thought they'd come a day Ninge fall in love like this I never thought they'd come a day Ninge fall in love like this Walahi this is love this is love this is love that I'm feeling This is love this is love this is love that I'm feeling Baby niko sure nataka kuwa na wewe only you Niko sure nataka kuishi na wewe only you uuh Imeandikwa mtoto anazaliwa na mumama na mubaba Imeandikwa mtoto anazaliwa na mumama na mubaba Akishakua inabidi aondeke, kwa mumama na mubaba Akishakua inabidi aondeke, kwa mumama na mubaba Ooh baby na nakupenda, na na nakutaka Ooh baby na nakupenda, na na nakutaka And I can't do without you nakupenda na na nakuta And I can't live without you nakupenda na na nakutaka Ooh lala lalalalala, lalalalala Ooh lala lalalalala lalalalala Jovi ona polisi anavolia mpaka mufungwa anamubembeleza Kumbe mapenzi haitambui hata wenyu bunduki Inapepeta tu kama risasi Kama water fall Mapenzi yana tiririka mwilini mwangu Mapenzi ni ya wawili Nimalize nibaki kiwili wili Nimefall in love Nimefall in love, fall in love Nimefall in love Nimefall in love Fall in love, fall in love Fall in love Fall in love, fall in love Imeandikwa mtoto anazaliwa na mumama na mubaba Imeandikwa mtoto anazaliwa na mumama na mubaba Akishakua inabidi aondeke, kwa mumama na mubaba Akishakua inabidi aondeke, kwa mumama na mubaba Ooh baby na nakupenda, na na nakutaka Ooh baby na nakupenda, na na nakutaka And I can't do without you nakupenda na na nakuta And I can't live without you nakupenda na na nakutaka Ooh lala lalalalala, lalalalala Ooh lala lalalalala lalalalala
Writer(s): Willy Fauade William Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out