album cover

Weka Weka

2,929Alternative Rap2015
album cover
Weka Weka was released on February 10, 2015 by Decimal Records as a part of the album Wagenge Hao Tena
ReleasedFebruary 10, 2015
LabelDecimal Records
BPM103
Melodicness
Acousticness
Valence
Danceability
Energy

Music Video

Music Video

Lyrics

[Verse 1]
Mi huweka weka weka pesa kwenye banki
Kisha nacheka utadhani navuta bangi
Bana nko maji utathani me ni tangi
Macho nyekundu imegeuza karangi
Unanijua ujinga me sitakangi, unanijua track me huwa naua
Me ni kammea utadhani me maua
Jina kubwa nathani unanijua
So kikundi serikali basi nani ana swali
Yani ngoma ingine kali yani tamu kama asali
So me huweka watoto me naweka
Niko tribeka
Niko gage tu nawaka
Nataka kuteka kisha niingie keja tu kuweka weka weka weka tena sana
Najifanya nimedoze kumbe naongezaga dose
Asubuhi ikifika narudi tu pale pale tu
[Chorus]
Weka weka weka weka weka weka
Weka weka weka weka tena sana
Tunaweka weka weka weka weka weka
Weka weka weka weka tena sana
Tunaweka weka weka weka weka weka
Weka weka weka weka tena sana
Tunaweka weka weka weka weka weka
Weka weka weka weka tena sana
[Verse 2]
Buganya mi ni beshte ya kalonje
Nina mapesa nimeweka kwenye wolenje
Kuna msupa amepoteza ma kibenje
Nina kitu kwenye boxer kakonje
Kuna kale kabaruta pia kakoinje
Unakawekaga sana hivyo ndio huwaga nafanya
Mi huwaga na wakusanya waniitaga buganya
Nabadilika ka chameleoni tubonge nasema tubonge
Acha nigonge
Wanasema ninaboo wanasema sina doo
Cheki after every show nawakopeshaga doh
Na mafans wanasema Bugah umeuwa show
Hawa mafala hakuna kitu wanaweza kanishow
Niko fiti joh niko fiti kidoh
Wanacheza ligi ndogo mi na cheza ligi soh
Mi napenda zile vitu bigi tena bigi soh so
[Chorus]
Weka weka weka weka weka weka
Weka weka weka weka tena sana
Tunaweka weka weka weka weka weka
Weka weka weka weka tena sana
Tunaweka weka weka weka weka weka
Weka weka weka weka tena sana
Tunaweka weka weka weka weka weka
Weka weka weka weka tena sana
[Verse 3]
Ni yule kijana mbaya zaidi mistari gaidi
Nararua hizi trucks zile mbaya zaidi
Bougy bender ukipenda majina zaidi
African doctor, yule headmaster mi naweka zaidi
Ninaweka weka yani ile wega wega
Nikisonga mbele bado wana bweka bweka
Bon-I weka akibend weka
Akijipa kama kawa nina fyeka fyeka
Ninapiga piga hadi inatetemeka
Ikitetemeka basi me na tetemesha
Tunaweka weka eeh hakuna pressure
Ninaweka weka yani naongeza mbesha
Ni itagededure mtoto shebure
Ukitakaga kucheza ninacheza sefure
Steady ready gently everyday
[Chorus]
Weka weka weka weka weka weka
Weka weka weka weka tena sana
Tunaweka weka weka weka weka weka
Weka weka weka weka tena sana
Tunaweka weka weka weka weka weka
Weka weka weka weka tena sana
Tunaweka weka weka weka weka weka
Weka weka weka weka tena sana
Written by: Boniface Chege, Eric Musyoka, Francis Amisi, Gabriel Kagudu

Shazam Footer

Select language:
Google Play Store
Apple App Store
Chrome Web Store
Galaxy Store

Follow Us

Loading...