音乐视频

音乐视频

歌词

Tulisha kaa na kuwaza, tuka gundua
Anafaa kuiongoza Tanzania
Mwenendo wake si tofauti sana na Mwalimu
Na ndio maana tukamuona kwetu ni muhimu
Anafaa
Anafaa
Anafaa ( Jakaya )
Anafaa kuiongoza Tanzania ( Jakaya )
Anafaa
Anafaa
Anafaa ( Jakaya )
Anafaa kuiongoza Tanzania
Ukimtizama anapo toa speech ndugu Jakaya
Ana kila sababu ya kuitwa mheshimiwa
Kakubalika kila kona hiyo inaeleweka
Na ndio maana kila anapo kwenda ana funika
Anafaa
Anafaa
Anafaa ( Jakaya )
Anafaa kuiongoza Tanzania ( Jakaya )
Anafaa
Anafaa
Anafaa ( Jakaya )
Anafaa kuiongoza Tanzania
Nchi yetu yenye amani na utamaduni
Eti leo tuuane kwa kukosa amani
Tulishatimba nae kila kona hapa nchini
Tukagundua kwamba huyu jamaa yuko makini
Kasi Mpya, Nguvu Mpya, Ari Mpya ndio sera ya Jakaya
Kasi Mpya, Nguvu Mpya, Ari Mpya ndio sera ya Jakaya
Sisi ndio watu wake wa kwanza kuchonga nae
Tulivyokuwa nae mitaa ya kati, katika tour
Tukamwambia masela mtaani wamepigika
Na ndio maana wengi wao sasa wana kaba
Tumempata tulie mpenda, ( Tulie mpenda )
Mungu kamchagua
Ata vijana wana mpenda ( Wanampenda )
Ndo maana wamemchagua
Tumempata tulie mpenda, ( Tulie mpenda )
Mungu kamchagua
Ata vijana tuna mpenda, ( Tunampenda )
Ndo maana tumemchagua
Kwani Nguvu Mpya, Kasi Mpya,Ari Mpya itawezeshanaje uchumi wetu kuinuka
Kwani Nguvu Mpya, Kasi Mpya, Ari Mpya
itawezeshanaje uchumi wetu kuinuka
Kasi Mpya, Nguvu Mpya, Ari Mpya
Kasi Mpya, Nguvu Mpya, Ari Mpya
Kasi Mpya, Nguvu Mpya
Moja kwa moja mpaka ikulu
Amani na upendo ndo silaha ya watanzania
Tuliweka nia sasa mambo yametimia
Tumempata anaye tufaa, kiongozi ambaye ni shujaa
Kweli ni kifaa na anafaa
Kutuongoza makacha wote tumemkubali, kwa kila hali
Hatakama tunashindia ugali, mbona mi naona shwari
Nnachotaka ni amani itawale mpaka mitaani
Mungu mwaangazie Jakaya duru amalize hili duru
Nchi yetu iendelee kuwa huru
Tuna kuombea kwa Mungu uliyo ya ahidi yote uyatekeleze
Elimu iwe juu
Uchumi uwe juu
Kila wikiendi iwe sikukuu
Kina dada, kina kaka, kina mama, kina baba
Je anafaa kuiongoza Tanzania?
( Anafaa )
Je anafaa kuiongoza nchi yetu?
( Anafaa )
Je anafaa kuiongoza Tanzania?
( Anafaa )
Je anafaa kuiongoza nchi yetu?
( Anafaa )
Pongezi kwako Kikwete
Umepita sehemu nyingi na umekwepa vingi vi gingi
Tumekuchagua wewe, unaye tufaa ni wewe
Wengine watatupa viwewe
Uh
Tumempata tulie mpenda, ( Tulie mpenda )
Mungu kamchagua
Ata vijana wana mpenda ( Wanampenda )
Ndo maana wamemchagua
Tumempata tulie mpenda, ( Tulie mpenda )
Mungu kamchagua
Atavijana tuna mpenda, ( Tunampenda )
Ndo maana tumemchagua
Kwani Nguvu Mpya, Kasi Mpya, Ari Mpya itawezeshanaje uchumi wetu kuinuka
Kwani Nguvu Mpya, Kasi Mpya, Ari Mpya
itawezeshanaje uchumi wetu kuinuka
Tumempata tulie mpenda, ( Tulie mpenda )
Mungu kamchagua
Ata vijana wana mpenda ( Wanampenda )
Ndo maana wamemchagua
Tumempata tulie mpenda, ( Tulie mpenda )
Mungu kamchagua
Ata vijana tuna mpenda, ( Tunampenda )
Ndo maana tumemchagua
Kwani Nguvu Mpya, Kasi Mpya, Ari Mpya itawezeshanaje uchumi wetu kuinuka
Kwani Nguvu Mpya, Kasi Mpya, Ari Mpya
itawezeshanaje uchumi wetu kuinuka
Tumempata tulie mpenda, ( Tulie mpenda )
Mungu kamchagua
Ata vijana wana mpenda ( Wanampenda )
Ndo maana wamemchagua
Tumempata tulie mpenda, ( Tulie mpenda )
Mungu kamchagua
Ata vijana tuna mpenda, ( Tunampenda )
Ndo maana tumemchagua
Kwani Nguvu Mpya, Kasi Mpya, Ari Mpya itawezeshanaje uchumi wetu kuinuka
Kwani Nguvu Mpya, Kasi Mpya, Ari Mpya
itawezeshanaje uchumi wetu kuinuka
Written by: Tmk Wanaume
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...