制作

出演艺人
Tmk Wanaume
Tmk Wanaume
表演者
作曲和作词
Tmk Wanaume
Tmk Wanaume
词曲作者
Juma Ally Kassim
Juma Ally Kassim
作词
Ambrose Akula Akwabi (Dunga)
Ambrose Akula Akwabi (Dunga)
作曲

歌词

Si ulitaka chai, chai
Iweje ulalamike una ungua?
Kuwa mwangalifu, msikivu, mwerevu
Ukipenda sana ngono, itakuua
Si ulitaka Isshh...haaa!
Iweje ulalamike una ungua?
Kuwa mwangalifu, msikivu, mwerevu
Ukipenda sana ngono, itakuua
Umepata chai, halafu unalalamika ya moto
Wakati mwenyewe
Umenunua kwa **
Unalalamika nini? wakati kila siku ulikuwa una ona matangazo kwenye screen ya tea kwenye TV
Chai ina babua makini usipokuwa
Ati! unakunywa, tukutukutuku (bila) bila kupooza
Una tegemea nini kama sio cha kupunguza
Sana sana sehemu za baridi, tuwe makini ikibidi
Najua utataka blanket na shuka wacha kukurupuka ah
Mapenzi haramu haramu mwisho wake futi sita shimoni aight!
Luteni **
Ni Home Boyz Produkshizo ndani ya muunganiko na watoto wa Pwani
Majani kutoka T.M.K. Anhaa!
( Check it out )
Si ulitaka chai, chai
Iweje ulalamike una ungua?
Kuwa mwangalifu, msikivu, mwerevu
Ukipenda sana ngono, itakuua
Si ulitaka Isshh...haaa!
Iweje ulalamike una ungua?
Kuwa mwangalifu, msikivu, mwerevu
Ukipenda sana ngono, itakuua
Ulimwona anafaa, ukamwita kifaa (Enhee)
Sasa ndugu yangu wewe, ushaupakaa (Ayaa)
Kwani hukujua kwamba dunia ni hadaa, na ulimwengu ni shujaa?
Oh Mara unalalamika washikaji wananinyanyapa (Aaaah!)
Si kama nakusema sababu washikaji walisha kuambia toka mapema(Ndio ndio)
Kwamba dunia kaka haiendi hivyo ipo siku utajitafutia matatizo (Sanaa)
Haya sasa, miwaya sasa
Ona unavyokuwa marehemu mtarajiwa sasa (Ayaah!)
Sebastian Ndege unajitahidi sana wenzio masikio wametiapamba (Kweli)
Wanaona ni hadithi tu wanayopewa na God Mwalusamba
Wanatupa ** wanakwenda kwenda **
Yaani wanavyo fanya
Utasema kondomu hakuna (Ayaa)
Si ulitaka chai, chai
Iweje ulalamike una ungua?
Kuwa mwangalifu, msikivu, mwerevu
Ukipenda sanangono, itakuua
Si ulitaka Isshh...haaa!
Iweje ulalamike una ungua?
Kuwa mwangalifu, msikivu, mwerevu
Ukipenda sana ngono, itakuua
Anaonekana anabisha wakati vipimo vilisha tuonesha
Na baadhi ya ndugu zao walisha hakikisha
Kila ukimtizama anasikitisha
** alicho nacho sasa kimekwisha
Miwaya imesha mu** wadudu washapenya
Zake ni kupiga dry kavu, ushauri wa madaktari aliona kama upumbavu
Alishagawa sotojo kwa watoto wadogo na kina baba watu wazima
*** inatapakaa mwili mzima
Si ulitaka chai, chai
Iweje ulalamike una ungua?
Kuwa mwangalifu, msikivu, mwerevu
Ukipenda sana ngono, itakuua
Si ulitaka Isshh...haaa!
Iweje ulalamike una ungua?
Kuwa mwangalifu, msikivu, mwerevu
Ukipenda sana ngono, itakuua
Ai! ai!
Kweli chai inachoma hii bwana, kweli ina moto, puliza
(Pff! pff!)
Usi ifakamie vibaya uje uungue, Yalaaa
(Usi ifakamie vibaya, uje uungue, Yalaaa)
Usijifanye unafahamu sana, eti kuwa ni tamu tamu tamu tamu mpaka kichogoni
Najua huwezi kuniita mimi kama huna ulimi
Ukae ukijuaukiwa na ukimwi ni sawa na jini ndo maana hujificha mwilini
Ushangai kwanini utuue wewe na mimi (Ndio!)
Mgonjwa hakatai dawa, akikataa ashaiandaa kaburi
Pombe haipunguzi mawazo, siku zote huwaga ndo chanzo
Starehe ni mtego wa shetani ameutega duniani(Ndio!)
Rafiki yangu Josefu analalamika eti amelogwa kulogwa gani, unakonda, mwili unatoka vidonda
hiyo bwana itakuwa ni ngoma
Mi shangazi alishanikanya na ndo maana naogopa kufanya
Kulewa lewa nyaka nyaka
Kuchinja ** ovyo kwenye vichaka
Dunia inachoma moto, inachoma, inachoma, inachoma, inachoma, inachoma, kweli inachoma
moto
Wazazi, watoto muwa kanye, na nyie pia msifanye Eeh!
Si ulitaka chai, chai
Iweje ulalamike una ungua?
Kuwa mwangalifu, msikivu, mwerevu
Ukipenda sana ngono, itakuua
Si ulitaka Isshh...haaa!
Iweje ulalamike una ungua?
Kuwa mwangalifu, msikivu, mwerevu
Ukipenda sana ngono, itakuua
Written by: Ambrose Akula Akwabi (Dunga), Juma Ally Kassim, Tmk Wanaume
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...