制作
歌词
[Verse 1]
Utanikumbuka wewe
Utanikumbuka wewe
Utanikumbuka wewe
Utanikumbuka wewee
[Verse 2]
Ndege wangu
Ametoweka tunduni
Amepuruka mwituni
[Verse 3]
Kila siku
Nakungojea urudi
Usifanye makusudi
[Chorus]
Utanikumbuka ndege siku moja (Aah)
Hatuwezi tena sisi kuwa pamoja (Aah)
Utanikumbuka ndege siku moja (Aah)
Hatuwezi tena sisi kuwa pamoja (Aah)
[Verse 4]
Jua mwituni
Kuna wengi wawindaji
Lakini mimi ndio mfugaji
Ukirudi itakua mimi na wewe
Jichunge na mwewe
[Chorus]
Utanikumbuka ndege siku moja (Aah)
Hatuwezi tena sisi kuwa pamoja (Aah)
Utannikumbuka ndege siku moja (Aah)
Hatuwezi tena sisi kuwa pamoja (Aah)
Utanikumbuka ndege siku moja (Aah)
Hatuwezi tena sisi kuwa pamoja (Aah)
Utanikumbuka ndege siku moja (Aah)
Hatuwezi tena sisi kuwa pamoja (Aah)
[Chorus]
Utanikumbuka ndege siku moja (Aah)
Hatuwezi tena sisi kuwa pamoja (Aah)
Utaninikumbuka ndege siku moja (Aah)
Hatuwezi tena sisi kuwa pamoja (Aah)
Utaninikumbuka ndege siku moja (Aah)
Hatuwezi tena sisi kuwa pamoja (Aah)
Utaninikumbuka ndege siku moja (Aah)
Hatuwezi tena sisi kuwa pamoja (Aah)