制作

作曲和作词
Noel Nderitu
Noel Nderitu
词曲作者
Rigga
Rigga
词曲作者

歌词

[Intro]
Now you're giving me another one
A brand new song for you like the other one
Lord I long for you like the deer
Umenikaribisha juu we umenikaribia
[Verse 1]
Nimakula kwingine lakini haishibishi
Kwani nina minyoo mengi hayaridhishi
Kama Ray C nauliza uko wapi nikufwate
Niambie nipajue
[Verse 2]
I have been searching, searching for so long
Satisfaction, promised along the way
The day that I found you is when I knew this to be true
No other like you, wewe tabibu
[PreChorus]
Waupoza moyo (Waupoza moyo wangu)
Wauwasha moto (Rohoni mwangu)
Waupoza moyo (Waupoza moyo wangu)
Wauwasha moto (Rohoni mwangu)
[Chorus]
Elewa ukweli siamini, unawatosha hata wazidi
Upendo wa baba, nautamani
And ukweli siamini, unawatosha hata wazidi
Upendo wa baba, nautamani
[Verse 3]
I give you all of me
Everything that I think I should be
Giving you everything never knew how hard that would be
Laying it at your feet o Lord come through
There is purpose I found life in you
[PreChorus]
(Waupoza) Waupoza moyo wangu (Waupoza moyo wangu)
Wauwasha moto (Rohoni mwangu)
Waupoza moyo (Waupoza moyo wangu)
Wauwasha moto (Rohoni mwangu)
[Chorus]
Elewa ukweli siamini, unawatosha hata wazidi
Upendo wa baba, nautamani
And ukweli siamini, unawatosha hata wazidi
Upendo wa baba, nautamani
[Verse 4]
Moyowangu hopeful, kichwa peaceful
Kuliko dem ameketi kwenye salon
You said that if I need you I'll find you
Nina amani juu uwepo niko nayo
[Verse 5]
No I don't live, it's a priviledge to freely follow the king
I need Jesus Christ to be first in my everything
Niwe kazini, nyumbani, u nami rohoni
[PreChorus]
Ndani jamani upendo wa baba natamani (Natamani)
I can't believe this, the feeling I can't receive this (Natamani)
When I called you, you hear, when I draw close you draw near (Natamani)
Hakuna upendo kama wako, sina otherwise baba mi ni wako (Natamani)
Siamini wanipenda
[Chorus]
Elewa ukweli siamini, unawatosha hata wazidi
Upendo wa baba, nautamani
And ukweli siamini, unawatosha hata wazidi
Upendo wa baba, nautamani
[Chorus]
And ukweli siamini, unawatosha hata wazidi
Upendo wa baba, nautamani
And ukweli siamini, unawatosha hata wazidi
Upendo wa baba, nautamani
Written by: Noel Nderitu
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...