歌词

Nianze kwa kusema asante kwa kukupata beiby Ungesema hunitaki ningedata maybe Mie niliwatosa hadi washikaji ili kukufuata beiby Na unavyonikosha zaidi ya maji nimechakacha Beiby Beiby you make me feel like a star More than fame, more than fast cars Nikiwa nawe ninafly sky high Kama nimepiga ssshh, Napepea so high Sio longo longo love ya uongo na kweli Longo longo haina mchongo love, moyo wangu Ushafeli Bila hongo mbongo halienzi, hayo ni mapenzi ya Kitapeli Hivyo hakuna manfongo ataeleta ushemeji wa Singeli Hiki kitu ni real sio kitu feki Unavyofanya nafeel kudadadeki Tunapiga madeal pata masenti Home ni kuchora saba ka napiga deki Koorasi, koorasi Tunataka koorasi Koorasi, koorasi Tunataka koorasi Koorasi, koorasi Tunataka koorasi Koorasi, koorasi Tunataka koorasi Hili penzi linanifanya mpumbavu 1+2 sielewi watchu have Wengi wakija ninawapiga makavu Ila kwako nilivyodata ninakupa utamu kavu Yule wakugomba ni mizenguo furaha hataki Nikabaki kama Longomba funguo nitaipata Wapi? Akiwa sawa, mnaenda sawa tu mnapeta Akiwa vibaya hugeuka dawa isiyonyweka I know am Gangsta, nipende hivyo hivyo Sitafunga kanga wala dera sina hizo Tutapiga kazi, tuwe wote kwenye hustle Bonnie & Clyde mixer pesa kwenye macho Ninakuita jino bovu kila mtu anataka akung'oe Unaniita hofu kila mtu anataka anitoe Hawataki nikuoe ili tutimize nusu ya dini Waambie wapige mswaki ndipo wabonge Kuhusu mimi Koorasi, koorasi Tunataka koorasi Koorasi, koorasi Tunataka koorasi Koorasi, koorasi Tunataka koorasi Koorasi, koorasi Tunataka koorasi Tunataka koorasi
Writer(s): Fareed Kubanda Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out