制作

出演艺人
Maua Sama
Maua Sama
表演者
作曲和作词
Maua Sama
Maua Sama
词曲作者

歌词

[Intro]
Kwako tetere nishazubaa
Nipe mchele, usinipe chuyaa
[Verse 1]
Uwache pele, tuliza pupa, ooh ooh
Usije ukaniua titiri, ooh
Ooh nishakupa vyote vyako (Ooh lalala)
Mautam mamnato (Ooh lalala)
[Chorus]
Niteke (Mateka niteke)
Niteke (Niteke teke niteke)
Niteke teke (Mateka niteke)
Niteke (Oooh)
[Verse 2]
Zidisha unyama
Nyama kwa nyama
Zidisha unyama
Nyama kwa nyama
[Verse 3]
Uma fitimbi biti kimumunya pipi
Utamu wa kisiginoni
Nichikiche nichikichi
Na shavu njikitile
Unakesha kilindoni
[Verse 4]
Nitwange nipepete
Nisage nichekeche
Nikande niumuke
Kilima nipandishe
[Refrain]
Kibinda nkoi nkoi (Aaee eeh)
Kiwinda pori pori (Aaee)
Naringa dori dori (Aaee eeh)
Nawe imba chori chori
[Chorus]
Niteke (Mateka niteke)
Niteke (Niteke teke niteke)
Niteke teke (Mateka niteke)
Niteke (Ooh)
[Refrain]
Zidisha unyama
Nyama kwa nyama
Zidisha unyama
Nyama kwa nyama
[Verse 5]
Mateka niteke
Niteke teke niteke
Mateka niteke
Ooh
[Outro]
Nyama kwa nyama
Written by: John Kimambo, Maua Sama
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...