制作
出演艺人
Elani
表演者
作曲和作词
Elani
词曲作者
歌词
[Chorus]
Nimejaribu, nilielie nikusahau wewe
Eh nimejaribu, kujikusanya
Ukaniacha mi na aibu
Wengine wanicheke juu uko na mwingine
Eh nimejaribu, kujikusanya
[Chorus]
Nikusahau wewee
Nikusahau wewee
Nikusahau wewee
Nikusahau wewee
[Verse 1]
Pengine nilikawia sana
Kukupeleka likizo ikaleta matatizo
Ulitamani sana, Maasai Mara
Au pengine nilichelewa sana
Usiku wa manane nilifika nimetoka mi
Kuimba juu niko biashara, silipwi mishahara
[Verse 2]
Na ningependa nikuchukie mami lakini mi si kama wewe
Ata kisasi nikulipize, lakini mimi sio wewee
[Chorus]
Nimejaribu, nilielie nikusahau wewe
Eh nimejaribu, kujikusanya
Ukaniacha mi na aibu
Wengine wanicheke juu uko na mwingine
Eh nimejaribu, kujikusanya
[Chorus]
Nikusahau wewee
Nikusahau wewee
Nikusahau wewee
Nikusahau wewee
[Verse 3]
Pengine nilikupenda sana
Ulipokosa nikakimya hadhi yangu kaishusha na nikakusamehe
Au pengine niombe msamaha
Sikutosha mimi kwako ukatafuta wa kando bado nikakusamehe
[Verse 4]
Na ningependa nikuchukie lakini mi si kama wewe
Ningependa nikusengenye lakini mi si kama wewe
[Chorus]
Nimejaribu, nilielie nikusahau wewe
Eh nimejaribu, kujikusanya
Ukaniacha mi na aibu
Wengine wanicheke juu uko na mwingine
Eh nimejaribu, kujikusanya
[Chorus]
Nikusahau wewee
Nikusahau wewee
Nikusahau wewee
Nikusahau wewee
Nikusahau wewee
Nikusahau wewee
Nikusahau wewee
Nikusahau wewee
Written by: Elani

