制作

出演艺人
Fena Gitu
Fena Gitu
表演者
Tugi Mulamba
Tugi Mulamba
主音吉他
作曲和作词
Trufena Gitu
Trufena Gitu
词曲作者
制作和工程
Kanyeria
Kanyeria
制作人

歌词

CHAI MOTO
Oya come nikupashe
Nikusafishe mikono
Nikuandalie uhondo
Skiza vile chai ya leo ni moto
Ni sisi wale tunapendanga umbeya
Usiku hatulali bado kuongea
Ni sisi majirani tutakuchomea
Ni sisi kanisani tutakuombea
Na tunasemanga ukweli
Page 6 Nation Daily
Screenshots ndio receipt
Proof of your deceit
Hook
Good morning, here’s your wake-up call
Before the curtains fall
Chorus
I got my eye on the prize stay focus
See it in my eyes I’m focused
They can try provoke us
Pay them no mind, no
Jokers!
Clowns & Jokers! X2
Habari kem kem
Habari ni mengi
Keti
Kuja vako nikuseti
Naskia King Kaka anakuwanga mlevi
Naskia Khaligraph anakuwanga pedi
Naskia Fena GItu anaishi seti
Eti kule mtaa anadishi Betty
Kyalo?
Apana, naskia waliachana
Si juzi tulimwona na Kagwe
Kagwe, yeah that way
Yeah which way
That way!
Good morning, here’s your wake up call
Before the curtains fall
Chorus…
Written by: Trufena Gitu
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...