制作
出演艺人
HARMONIZE
表演者
作曲和作词
Rajabu Abdukahal Ibrahim
词曲作者
歌词
Na ye ni mwanadamu, na dunia tunapitaa
Kama kupata kwa zamu, ooh zamu, yangu itafikaa
Siwezi kana damu, kesho wataja nizika
Ila ningependa afahamu, haya mateso aloniipa
Mmh! Tena mwambieni aloninyima mimi, ndio kampa yeyee eeh
Kupata foleni, nasubiri yangu mimi, hata ichelewe yeyee eeh
Ooh-oh-ooh
Sina furaha naigiza ilimradii watoto wasijihisi vibaya
Huyu mdogo anauliza eti daddy, mama ameihama Kaya
Cha kujibu sina nabaki tu kusemaa
Atarudii
Atarudi mama
Atarudii
Anawapenda sana
Atarudi
Atawaletea zawadi
Atarudi
Eeh, atarudi mama
Atarudi
Atarudi mama
Atarudi
Anawapenda sana
Atarudi
Atawaletea zawadi
Atarudii
Siwezi sema sijui tatizo, hali yangu duni imefanya ukanikimbia
Ni vyema ungefanya maigizo, mara kumi usingenizalia
Mmmh, ingali mapenzi pekee, ningesema ni changamoto nijifunzee
Ameniacha upwekee, na watoto niwatunze
Eeeh! Ila siwezi mlaumu
Aah
Huenda yupo sawa
Aah
Kipato changu kigumu
Aah
Kutwa bumunda na kahawa
Aah
Eeh! Ila mwambieni aloninyima mimi, ndio kampa yeyee eeh
Kupata foleni, nasubiri yangu mimi, hata ichelewe yeyee eeh
Ooh-oh-ooh
Sina furaha naigiza ilimradii, watoto wasijihisi vibaya
Huyu mdogo anauliza eti daddy, mama ameihama Kaya
Cha kujibu sina, nabaki tu kusemaa
Atarudii
Atarudi mama
Atarudii
Anawapenda sana
Atarudii
Atawaletea zawadi
Atarudii
Eeh atarudi mama
Atarudii
Atarudi mama
Atarudii
Anawapenda sana
Atarudii
Atawaletea zawadi
Atarudii
Written by: Rajabu Abdukahal Ibrahim

