歌词

Jua la saa saba, limewaka sana
Linavyonichoma, ndivyo nakazana
Juu siwezi lala njaa,nikitazama
Ninaondoka, nirudishe salama
Giza la saa moja, limenipata kwa shamba
Ninaogopa polisi na wakora
Siwezi lala njaa, nikitazama
Ninaondoka, nirudishe salama
Siwezi lala njaa nikitazama
Ninaondoka, nirudishe salama
Written by: Benson Muia, Bensoul
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...