制作

出演艺人
Martha Mwaipaja
Martha Mwaipaja
领唱
作曲和作词
Martha Mwaipaja
Martha Mwaipaja
词曲作者
制作和工程
PG
PG
制作人

歌词

Baba, oh
Ni kwa neema, aah
Neema itufanyayo, tumebadilika
(Amenitengeneza huyu Baba, haa)
Amenitengeneza
(Amenitengeneza huyu Baba, haa)
Amenibadilisha
(Amenitengeneza huyu Baba, haa)
Amenitengeneza, ha
(Amenitengeneza huyu Baba, haa)
Jana nililia mwenzio
(Amenitengeneza huyu Baba, haa)
Jana niliteswa sana
(Amenitengeneza huyu Baba, haa)
Amenibadilisha, ah
(Amenitengeneza huyu Baba, haa)
Amenibadilisha leo
(Amenitengeneza huyu Baba, haa)
Jana nilifukuzwa, haa, Baba
(Amenitengeneza huyu Baba, haa)
Jana nilikimbiwa na wengi, mwenzenu
(Amenitengeneza huyu Baba, haa)
Leo nimenyamaza, a-haa
(Amenitengeneza huyu Baba, haa)
Leo nimenyamaza, haa
(Amenitengeneza huyu Baba, haa)
Amefanya leo niimbe
Yesu amefanya leo niimbe
Amenipenda kuliko nilivyofikiri
Amenitunza kuliko nilivyodhania
Alinitoa kule wengine walitaka nibakie
Alinitoa kule wengine walitaka nilie
Alinibembeleza na mimi, hey
Amenifanya kuwa neema kati ya wenye neema
Sikujua na mimi leo nitabadilika
Maana jana yangu nililia, ah, a-ha
Maana jana yangu niliteseka, ah, a-ha
Nakwambia nimetengenezwa na Baba
Ni kweli mimi nimebadilishwa na Baba
Amenipenda kiasi kile, sikujua
Usinione hivi nilivyo mi', amenipenda Baba
Amenitengeneza huyu Baba
Amenibadilisha huyu Baba
Amenibadilisha huyu Baba
Halleluyah, amen, hee-he
(Amenitengeneza huyu Baba, haa)
Huyu Baba wa mimi, ah
(Amenitengeneza huyu Baba, haa)
Amenibadilisha, ha
(Amenitengeneza huyu Baba, haa)
Amenitengeneza, ah
(Amenitengeneza huyu Baba, haa)
Kaondoa aibu, Baba
(Amenitengeneza huyu Baba, haa)
Kaondoa fedheha
(Amenitengeneza huyu Baba, haa)
Amenibadilisha na mimi, ah, eh
(Amenitengeneza huyu Baba, haa)
Amenibadilisha na mimi, ah
(Amenitengeneza huyu Baba, haa)
Amenitoa nyuma, ah
(Amenitengeneza huyu Baba, haa)
Amenitoa nyuma, ah
(Amenitengeneza huyu Baba, haa)
Amenileta mbele na mimi
(Amenitengeneza huyu Baba, haa)
Amenileta mbele na mimi
(Amenitengeneza huyu Baba, haa)
Huyu Baba
(Amenitengeneza huyu Baba, haa)
Amefanya adui zangu waaibike
Amefanya watesi wangu waaibike
Walio taka niwe vile walivyonijua
Waliopenda niwe vile walionijua
Mimi leo nimebadilishwa, ah, a-ha
Mimi sasa nimetengenezwa, ah, a-ha
Amenibadilisha huyu Baba, ah
Amenitengeneza huyu Baba, ah
Alikuja kama mtawala wa haki kwangu
Alikuja kama mtawala kwa haki kwangu
Akatawala maisha yangu yote
Ametawala mawazo yangu yote
Amebadilisha hadi tembea yangu, mwenzenu
Amebadilisha hadi ongea yangu, mwenzenu
Leo nimevikwa utukufu, ah, a-ha
Leo nimevikwa heshima, ah, a-ha, heh
Amenitengeneza huyu Baba, haa
(Amenitengeneza huyu Baba, haa)
Baba, ah, halleluyah
(Amenitengeneza huyu Baba, haa)
Amenibadilisha, ah
(Amenitengeneza huyu Baba, haa)
Amenipa raha mwenzenu
(Amenitengeneza huyu Baba, haa)
Kaondoa aibu
(Amenitengeneza huyu Baba, haa)
Kaondoa majuto, ah
(Amenitengeneza huyu Baba, haa)
Kaondoa dharau
(Amenitengeneza huyu Baba, haa)
Kanipandisha juu, na mimi
(Amenitengeneza huyu Baba, haa)
Kanipandisha juu na mi', ah
(Amenitengeneza huyu Baba, haa)
Amenibadilisha Yesu wangu, ah
(Amenitengeneza huyu Baba, haa)
Amenibadilisha Baba yangu
(Amenitengeneza huyu Baba, haa)
(Amenitengeneza huyu Baba, haa)
(Amenitengeneza huyu Baba, haa)
Written by: Martha Mwaipaja
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...