制作
出演艺人
Gin Ideal
表演者
作曲和作词
Virginia Maina
作词
Eric Mbithi
作词
Saint P
作曲
歌词
(Intro)
Nimekuchagua wewe
Nimekuchagua wewe
....aah ahhh...
Kwa wazazi nikupeleke
Kwa wazazi nikupeleke
...aah ahhh....
(Verse 1)
Baibe here we go,one plus one we’re equal
...ehee..
Selfless bila ego,im so much in love na maringo....
...ehee...
Ona vile love imegerminate
Mungu akanipa wewe kama blessing
Familia nayo imevalidate
Ona sasa watu wanawitnesii
..aah aah
(Pre - chorus)
Nimekuchagua wewe
Nimekuchagua wewe
....aah ahhh...
Kwa wazazi nikupeleke
Kwa wazazi nikupeleke
...aah ahhh.... *2
(Chorus )
Mapenzi yangu ni Sare Sare Sareee
Mahaba ya yangu Sare Sare Saree
Na roho yangu ni Sare Sare Saree
....ooh roho yangu....
Na roho yangu ni Sare sare sareeee
(Verse 3 )
I am now your star wanifanya nang’aa
There’s no girl like me
Pete nimesha vaa wanipatia furaha
I’m gonna give all of me
Ona vile watu wajailet
Wamekuja wote kutuwitnessii
You’re my strength in my weakness
Mungu akinipa wewe kama blessing
Nimekuchagua wewe
Nimekuchagua wewe
....aah ahhh...
Kwa wazazi nikupeleke
Kwa wazazi nikupeleke
...aah ahhh.... *2
Written by: Eric Mbithi, Saint P, Virginia Maina

