歌词

(S2kizzy baby) Naleta ujuzi kazini na sitaki kazi Zidisha ujuzi kazini ufukuzwe kazi Bosi hataki uwe bosi, bossi huyoo Mdosi hataki uwe mdosi, Mdosi huyooo Saa mnalala nasimama dede (Dede) Saa mnapanga Mungu alipanga (Yeye) Saa mnalala nasimama dede (Dede) Saa mnapanga Mungu alipanga (Yeye) Si tulipeleka rap club bana (Haree) Si tulifanya mkasema wanabana (Maree) Si tulifanya wakaacha kubana (Chee chee) I say hapo hutopata rap za kufanana (Chee chee) Na siachi kusubiri kufa kufaana Na Chuga ni mbegu kali tunazaana Tananitashivo ukileta sizo Sisi ni matatizo I don't sleep oh no, no, no party silali bwana Hatuna namna, namna, namna ni si tutusue bwana Ile saa ya kufanya ya maana fanya ya maana Ua maupinzani (Ua) Zima maushindani (Zima) Zima roho fulani (Zima) Ua Mashetani (Ua) Si ndio Wakanda Forever wanahianya wherever Ile saa ulisanda linakuita jeneza Nauliza msingi ulimeza Ulisahau kuvaa unateleza? (ile saa) Naleta ujuzi kazini na sitaki kazi Zidisha ujuzi kazini ufukuzwe kazi Bosi hataki uwe bosi, bossi huyoo Mdosi hataki uwe mdosi, Mdosi huyooo Saa mnalala nasimama dede (Dede) Saa mnapanga Mungu alipanga (Yeye) Saa mnalala nasimama dede (Dede) Saa mnapanga Mungu alipanga (Yeye) Ukileta umimi na mi naleta umimi me Ukileta usiku naleta mwezi mzima me Saa mmelala nasimama dede Na saa mshakufa nasukuma chepe Watoto wa kulea waambie tete Watoto wakitaka wacha walete Usiposhika hela hamwezi shika adabu Muziki wa vijana watu wanakesha kwa babu Maswali ya Mungu shetani sio jawabu (Hakosi) Mungu akikupa shetani hakosi sababu (Mikosi) Naleta ujuzi kazini na sitaki kazi Zidisha ujuzi kazini ufukuzwe kazi Bosi hataki uwe bosi, bossi huyoo Mdosi hataki uwe mdosi, Mdosi huyoo Saa mnalala nasimama dede (Dede) Saa mnapanga Mungu alipanga (Yeye) Saa mnalala nasimama dede (Dede) Saa mnapanga Mungu alipanga (Yeye) Ile saa, ubaya uko mbele wema uko nyuma Ile saa, wanga wanazima, Mungu anawasha Ile taa, bosi fisadi anatumbuliwa Ule usaa, ndo nyumba aliahidi utanunuliwa Ngumu kupanda kama una marafiki wanaoshuka Ni ngumu kuficha kama ulichojamba kinanuka Eti weusi pipi nyinyi hizi ngumu mnauza Sitaua tisa juu chini ukigeuza Mke huwa malaya kama mume anampuuza Lla saa unampa vidonda wengine wanampuliza Ile saa, ile saa
Writer(s): Salmin Kasimu Maengo, George Sixtus Mdemu, Nickson John Simon, Isaack Maputo, John Simon Mseke Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out