音乐视频

音乐视频

制作

出演艺人
Weusi
Weusi
表演者
作曲和作词
David Baltazary Mboya
David Baltazary Mboya
作曲
Aizack Maputo
Aizack Maputo
词曲作者
George Sixtus Mdemu
George Sixtus Mdemu
词曲作者
John Simon
John Simon
词曲作者
制作和工程
Davy Machords
Davy Machords
制作人

歌词

McCall
Aye
(Y'all ready know what it-)
(What it-)
You know what time it is
Humu tu (Eh)
Humu tu (Ah)
Humu tu
Kubwa babake
Humu tu (Eh)
Humu tu (Ah)
Humu tu
Kubwa babake
Humu tu (Eh)
Humu tu (Ah)
Humu tu
Kubwa babake
Humu tu (Eh)
Humu tu (Ah)
Humu tu
(Aye)
Kubwa babake
Excuse me, Joh mi najiona juu ya sky
Juu ya jasho, juu ya juu, 'ju mi sikai
Nikisha kula, nashushia ka divai
Najiamini na kuna mtu ananidai
Nasikia Mzee ana tatizo na Mwamba
Na Mwamba mwenyewe na tatizo na namba
Napo zidisha hesabu, mnasikia kujamba
Mi yule mjanja anaye heshimu washamba
Kuongeza mashabiki ndio kutanua shamba
Kitaa ni mipira, shingoni makamba
Msizungumzie moja rukeni hiyo namba
Watoto chipsi kuku, mimi ni sumu ya mamba
Aye'
Let me Put in' ki-communist
Punguza wanafiki na ma opportunistic
Shehe, wanajifuta kwa list
There's a natural mystic', flow in the air
(In the air)
Humu tu (Eh)
Humu tu (Ah)
Humu tu
Kubwa babake
Humu tu (Eh)
Humu tu (Ah)
Humu tu
Kubwa babake
Humu tu (Eh)
Humu tu (Ah)
Humu tu
Kubwa babake
Humu tu (Eh)
Humu tu (Ah)
Humu tu
Kubwa babake
Tunaharibu lakini hatuharibikiwi
Jina lenyewe WEUSI ya nini Kiwi?
Hili neno la Mungu halina kiziwi
Kama ukorofi ni kweli si singiziwi
Kuzitafuta kwa jasho pia ni ngumu
Kuzitumia vizuri nazo ni ngumu
Tuma ya kutolea
"Hiyo ni ngumu"
Kuwa tajiri ni ngumu kwani machawa kibao
Bado kausha damu, vizinga kibao
Ukitaka ku-enjoy, Mange yuko kwa mtandao
Watu wa [Mitabao] A.K.A. Mirabaha
Chali ya Arachuga ambaye naishi Dar
Airtime haitoshi, hakuna muda wa kung'aa
Niwaongezee watoto viboko maana wameshindwa kukua
Humu tu
Ah, kuba babake
Humu tu (Eh)
Humu tu (Ah)
Humu tu
Kubwa babake
Humu tu (Eh)
Humu tu (Ah)
Humu tu
Kubwa babake
Humu tu (Eh)
Humu tu (Ah)
Humu tu
Kubwa babake
Humu tu (Eh)
Humu tu (Ah)
Humu tu
(Aah!)
Kubwa babake
Itifaki imezingatiwa, niite Kinana
Michongo ina kumbatiwa A.K.A. King'ang'a
Daraja mbili, Ololo, mpaka Kijenge, Mwanama
Kula piano, kula michano, hakuna pang'ang'a
Kipazani ni kukaza kama napiga mikasi
Sisomeki naenda mbele kama napiga reverse
Mchezoni tukifika, mnachapwa redudance
Na ngoma zetu mbele ya wazazi 'hazina mokakasi
(?) peng, peng
Everybody move
Wamesalimu amri
Wote mikono juu
Gang, gang
Kang, kang
(?)
In a hole
Fire in a hole
WEUSI hao
Cooperative emcees
WEUSI hao
Game ikitaka kulala
WEUSI hao
Haya leteni hizo hela
WEUSI hao
Humu tu (Eh)
Humu tu (Ah)
Humu tu
Kubwa babake
Humu tu (Eh)
Humu tu (Ah)
Humu tu
Kubwa babake
Humu tu (Eh)
Humu tu (Ah)
Humu tu
Kubwa babake
Humu tu (Eh)
Humu tu (Ah)
Humu tu
Kubwa babake
Written by: Aizack Maputo, David Baltazary Mboya, George Sixtus Mdemu, John Simon
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...