旋律性
歌曲的曲调是否清晰易记,是否遵循了明确的音乐模式。旋律性强的歌曲一般具有清晰、令人难忘的器乐或声线。
不插电
衡量一首歌曲对不插电乐器(例如钢琴、吉他、小提琴、鼓、萨克斯)而非电子或数字合成的依赖程度
Valence
通过歌曲的和声和节奏成分,传达的音乐积极性或情感基调。高情感值与幸福、兴奋和愉悦的感觉相对应,而低情感值则与悲伤、愤怒或忧郁有关。
舞蹈性
综合各种因素,包括节奏的稳定性、节奏模式和节拍重点,来确定一首歌曲是否适合跳舞。一首“适合跳舞”的歌曲可能具有稳定的节奏、重复的音乐结构和强烈的重拍。
能量
曲目的感知强度,可能受节奏、动态和音乐紧凑程度的影响。一首高能量的歌曲可能节奏欢快、乐器编配丰富,而一首低能量的歌曲则可能音乐编配简洁、节奏较慢。
BPM96
歌词
Mmmh (countr music baby)
Weusi (aiiih), wanene
Set it off
Huna credit mtaa umezima data
Hufiki wami mzee mwisho mkata
Najua una vina ila vina ukata
Vibao vya weusi watoto vibao kata
Nipo na macrates kwa bars wanayumba haswa
Kwetu mbembeanga kwetu simba kapakatwa
Contract killer nobody safe topshatta
Hatutake on twala linki kwa masaka
Wavivu wa kuchimba mtakunywa maji taka
Chukueni vitiki tunapiga tikitaka
Tupo maghettoni tunacheka Chris Kaka
Udaku na meide ndo tumefika hapa (mmh)
Tunauza na mziki mnauza na mwili pia
Naizo picha za utupu mnajibrand dear
Sitaki hizo meza zenye offer za bia
Kama mipango hamna mi nawakatia
Mnachopenda kona tukipiga makasia
Wanafiki mlale salama naweka mpaka njia
Mkiacha kukamia mtaanza shika mia
Ukila na wakubwa sio kufakamia (easy mmh)
(Yeah) Tunaset bars ingia mtaa kwa mtaa
Singo zimetosha album ziingie kitaa
Uliimba nyimbo gani tena mbona kichaa
Unamzungumzia nani wewe ni hizi namba
Au ndo wale wale wewe niko najipanga
Hio hamna ni stori bingwa wa kujieleza
Na huyu naye mbishi mbona kama Nikki
Maujanja tunasupply wengine yeye hafiki
Sisi tunaweka levels muziki na upimp
Muziki ni audio au video unauliza
Huyu naye mune mule, kila siku vile vile
You all sound the same mnaimba vile vile
Hamna jipya kiki zenu ni zile zile
Hamna MC kwenye mic saa hizi
Singo haijaisha Insta unataka kutizi
Mapicha picha ndo kitu mnauza sikuhizi
Baba wa hardcore tamani mzibe koo
Kweli hardcore kilingi ka kikoo
Baba wa ukoo
Nawaaga kisoo soo
Na leo nawachana hamna nafasi kubanana
Fake kwa wasichana kwa kina mama pata laana
Wallet tunapanda mbele yetu hungoi mwana
Chupi ndo inabana hewani haujanilipa bana
Am a big nichi, dem dichi simweki ndichi
Mi ni ticha nikivua sipigi mbichi
Na siachi pengo nikifa nishaziba nchi
Niite saa wasalimie masnichi
Naskia kutushusha mmekulania
Okay sisi tunakula bia
Mko far tupo near
Na msipokaza tutawakazia
Wana tungo nyingi zimekosa manii
Hazitungi mimba hawashiki manii
Tukipigwa kiss wanakisirani
Wenye kismati tupo kisimani
Dem kama sio mkali anakamia
Ukiona mwana anajisifu ana kibamia
Ndoto yako kama huioti umeilalia
Moja yako kama haikai umeikalia
Sipigi tena shuti siku hizi ni visigino
Sina watu feki tabasamu ni original
Tukutane benki ni macheki namwaga wino
Mambo ni ufundi kawa jina langu Robinho
Mnunulie nguo tutamvua akishavaa
Tukishasimama tutasema baby kaa
Na tukishachoka tutapanda lako kaa
Endelea kuvimba ukipita kwa kitaa (eeh)
Mzee nikonyeupe kama sina lowa
Papa don mwamba wanasaka madoa
Wanaulizia ndoa papa zinaloa
Kapa nawatoa kapa ni kutoa
Mambo ni ya moto hakuna kupoa
Kuku wanataga pale wanatutoa
Nachukua mazaga naenda kupoa
Beat linasaga flow zinakoboa
Geu juu ya turu
Kuchafu nitokako uliza waturu
Na kuhusu kuwamada sina shaka zulu
Na ukiingiwa mashaka jua ushajihuzuru
Hoi ka umepigwa drip za mololo
Hawatii mikono, mikono mfololo
Na kwa hii mikono kujeni msororo
Hapa majembe yanatii mi ndio sururu
Kata wenge misibiji husha hatia tia
Ukiulizwa ni nani alikudondosha ni Rapcha
Nchi hii ni kama ile mipacha
Tunavyowaondoa kwenye ramani departure
Watamaduni si ndo tunatunza hii culture
Wape habari wachuuzi halivuji pakacha
Malalamiko mingi mnaleta utata
Mcees wenu wakali tunapiga msasa
Written by: George Sixtus Mdemu, Isac Waziri Maputo, John Simon Mseke, Nickson Simon John, Weusi

