音乐视频

音乐视频

制作

出演艺人
Nandy
Nandy
表演者
作曲和作词
Faustina Nandera Charles Mfinanga
Faustina Nandera Charles Mfinanga
作曲
制作和工程
Kimambo
Kimambo
制作人

歌词

[Intro]
(Kimambo on the beats)
Aiyayayaya aiyayayaya
Aiyayayaya
[Verse 1]
Niko tuli baby
Kama maji kwa mtungi
Nyonga puli baby
Nivute niiishi nibaki kishungi
[Verse 2]
Ai zuri baby
Nibandike nigande ka gundi
Maakuli baby
Nilishe nishibe kitumbo ndindi
[Verse 3]
Unanikoleza, unanichombeza
Unanilegeza ai wee
Ukianzaga ndani unayaweza kitandani
Kwenye meza tsunami, jeneza ni wee
[PreChorus]
Nakupenda, nakuwaza
Forever you are, my boo boo
Unipende nikupende we
[Chorus]
Nimekuzoea, nimekuzoea
Nime nime nime nimekuzoea
Nimekuzoea, nimekuzoea
Nime nime nime nimekuzoea
[Bridge]
(Aiyayayaya aiyayayaya)
[Verse 4]
Kazoea vyote, kazoea mpaka kazoea
Kabobea kote, kabobea mpaka kabobea tena
Nalowea kote, nalowea mpaka nalowea
Inakolea yote, nakolea tamu kukolea tena
[Verse 5]
Nipo katikati (Ayaya) nazungukwa na upendo (Ayaya)
Sa ninatokea wapi? (Ayaya) Kaziba kote hajaacha pengo (Ayaya)
Wanafikaga wapi? (Ayaya) Peku bila sendo(Ayaya)
Mfike saa ngapi (Ayaya) vyote tembea kwa wako mwendo (Ayaya)
[PreChorus]
Nakupenda, nakuwaza
Forever you are, my boo boo
Unipende nikupende we
[Chorus]
Nimekuzoea, nimekuzoea
Nime nime nime nimekuzoea
Nimekuzoea, nimekuzoea
Nime nime nime nimekuzoea
Written by: Faustina Nandera Charles Mfinanga
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...