制作
出演艺人
Diamond Platnumz
声乐
Mrisho Mpoto
声乐
作曲和作词
Mrisho Mpoto
词曲作者
制作和工程
Bob Manecky
制作人
歌词
Poleni wale usiku hatujalala, wale mabomu yamewapa madhara
Yalosababisha maafa vifo hasara, poleni sana ndugu zangu
Mpaka sasa hawana pakulala, watoto bado njaa hawajala
Tuzidishe uda na maombi nyingi sala, poleni sana ndugu zangu
Poleni wale usiku hatujalala (Oh, oh), wale mabomu yamewapa madhara (Ah, ah)
Yalosababisha maafa vifo hasara, poleni sana ndugu zangu (Gongo la Mboto)
Mpaka sasa hawana pakulala (Eh, eh), watoto bado njaa hawajala (Ah, ah)
Tuzidishe uda na maombi nyingi sala, poleni sana ndugu zangu
Eh, Mola, ona wanao tunakwenda, eh, tunakwenda, tnakwenda, tnakwenda, tnakwenda
Kila siku matatizo, Baba tushike mikono
Walosema idadi ya watu kadhaa, eti wengine maje raha
Ona wegine wamejifungua, masikini moja bado
Shida za maisha si usiku si mchana, na majanga yanazidi twandama
Huku majukumu yame Tanzania, oh mama
Kuhusu maidha si usinu si mchana, majanga yanzidi twandama
Huku majukumu yame Tanzania, oh mama, iyee
Poleni wale usiku hatujalala, wale mabomu yamewapa madhara
Yalosababisha maafa vifo hasara, poleni sana ndugu zangu
Mpaka sasa hawana pakulala, watoto bado njaa hawajala
Tuzidishe uda na maombi nyingi sala, poleni sana ndugu zangu
Poleni wale usiku hatujalala, wale mabomu yamewapa madhara
Yalosababisha maafa vifo hasara, poleni sana ndugu zangu
Mpaka sasa hawana pakulala, watoto bado njaa hawajala
Tuzidishe uda na maombi nyingi sala, poleni sana ndugu zangu
Written by: Diamond Platnumz, Mrisho Mpoto