歌词
Verse 1
Mungu wangu yale umenitendea
Moyo wangu umejawa furaha
Mola wangu yale umenifanyia
Ata mdomo wangu unashindwa kusema
Pre-Chorus
Na hapa nilipo sasa, jana nilikuwa naotea
Na haya, ninayo ona sasa, jana nilikuwa naombea
Chorus
Asante (Asante Mungu wangu)
Asante (Nimeona mkono wako)
Asante (Asante Mungu wangu ooh)
Asante (Nimeona mkono wako)
Verse 2
Nikaomba nipe bibi, bado hujanipa
Lakini nina manzi, na si ni wewe ulinipa
Nikaomba kimuziki, nipate kusikika
Hivi bado sijafika, ila siku yangu inakuja
Pre-Chorus
Chorus
Bridge
Baba nifunze nisije nikasahau
Wema wako maishani mwangu
Tena nifunze nisije nikasahau
Kwa kidogo kukushukuru
Huenda siko mahali nilitaka niwe
Lakini siko mahali nilikuwa jana
Huenda sina nilichotaka niwe nacho
Lakini Baba nina vingi nisivyo-ombea
Written by: Edwin Muindi


