音乐视频

音乐视频

制作

出演艺人
DALIAN
DALIAN
表演者
作曲和作词
Edwin Muindi
Edwin Muindi
词曲作者

歌词

Intro
Aaah eeh ahh eh
Dalian aye
Mmh…
Verse 1
Baraka zako na mapenzi yako kwangu
(Umezidi kipimo)*2
Na nafsi yangu kila siku yakutamani
(Na itabaki hivo)*2
Pre-Chorus
(Hivi ata nisemwe nichekwe nao
Waje na vijembe na madharau
Uwepo wako, uwe nami)*2
Najua ni wengi, wanatamani nianguke kisa wafurahi
Najua ni wengi wanacheka na mimi kumbe hawafai
Chorus
(Baba nipiganie nipiganie eh eh
Yesu nipiganie nipiganie eh eh)*2
Verse 2
(Binadamu wale wale, leo watacheka na wewe
Alafu kesho wako kule, wanakusemeza yaye!)*2
(Nishindwe kusimama nisimamie
Nishindwe kuongea niongelee
Baba kwenye vita nipiganie
Ooooh ah!)*2
Pre-chorus
Chorus
Written by: Edwin Muindi
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...