制作
出演艺人
Rayvanny
声乐
作曲和作词
Rayvanny
词曲作者
Abbah
作曲
制作和工程
Gach b
制作人
歌词
[Verse 1]
Chuchumaa kama vile unafua
Mama unapika basi nije kupakua
Chuchumaa kwenye choo cha mabua
Ila chunga mchanga usiingie kitumbua
[Chorus]
Chuchumaa! kisha ulegeze nyonga hiyo
Chuchumaa! Unitoneshe kidonda hiyo
Chuchumaa! Ona nyoka anaconda hiyo
Chuchumaa! Ufanye mlima ufanye mlima kitonga hiyo
[Chorus]
Ai katoto (Moto-moto)
Moto-moto (Moto-moto)
Aii baikoko (Moto-moto)
Joto-joto (Moto-moto)
[Verse 2]
Kamata ukuta
Shuka mpaka chini take it down zungusha
Kamata nakupa
Nikishika nyundo nipasue kichupa
[Bridge]
Oweoo weoo
Kina dada mko wapi?
Oweoo weooo
Basi muingie kati
[Chorus]
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
[Verse 3]
Kimbau-mbau, tukunyema
Pilau lau, nipe supu tena
Mashau shau kana sinema
Yaani kanakula ndizi bila kumenya
[Verse 4]
Basi nipe za Kichina eeh (Msamba)
Fanya kama Bruce Lee (Msamba)
Viuno vya kusigina eeh (Msamba)
Fanya kama Jet Li
[Verse 5]
Unavyocheza kwenye chaki kanataka hakataki
Na chumbani varangati kwaito
Na pembeni katikati nakatachi bila wasi
Kamedata na Wasafi tittle-ooh
[Chorus]
Ai katoto (Moto-moto)
Moto-moto (Moto-moto)
Aii baikoko (Moto-moto)
Joto-joto (Moto-moto)
[Verse 6]
Kamata ukuta
Shuka mpaka chini take it down zungusha
Kamata nakupa
Nikishika nyundo nipasue kichupa
[Bridge]
Oweoo weoo
Kina dada mko wapi?
Oweoo weooo
Basi muingie kati
[Chorus]
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
Chuchumaa! Chuchumaa!
[Chorus]
Chuchumaa!
Chuchumaa!
[Outro]
Tingishika, tingisha
Tingishika, tingisha
Tingishika, tingisha
Tingishika, tingisha
Written by: Abbah, Rayvanny

