制作

出演艺人
Muthaka
Muthaka
声乐
Agunda Alan Sanya
Agunda Alan Sanya
打击乐
Galvin Mbehero
Galvin Mbehero
键盘
Isaac Aine
Isaac Aine
低音吉他
Mercy Joy Kamore
Mercy Joy Kamore
伴唱
Luther Maina
Luther Maina
伴唱
作曲和作词
Muthaka
Muthaka
词曲作者
制作和工程
Martin Obudho
Martin Obudho
制作人

歌词

Verse 1
Mpenzi wangu songa karibu, Talk to me tell me how was your day
Usitoke hapa bila sababu, Let me hold your hand chase those fears away
Ju kama sina ye, acha nikuambie, roho haitulii
Sio kama vile anipendaye puts my heart at ease
Pre-Chorus
Oooh, ooooh
Ndio maana nataka
Chorus
Niwe Naye, nimuone
Niwe malaika, nimchunge
Niwe jua, aniote
Niwe kitabu anisome,anijue
Ajue mimi namtaka
My love, my love, my love
Verse 2
Tell me you think of me the way I think of you
Tell me you want me cause I promise I want you too
Ju Mara kwa Mara najipata nawaza if you're hoping you'll stay with me
Cause I've dreamt about you every night this week
Pre-Chorus
Oooh, ooooh
Ndio maana nataka
Chorus
Niwe Naye, nimuone
Niwe malaika, nimchunge
Niwe jua, aniote
Niwe kitabu anisome,anijue
Ajue mimi namtaka
Niwe Naye, nimuone
Niwe malaika, nimchunge
Niwe jua, aniote
Niwe kitabu anisome,anijue
Ajue mimi namtaka
My love, my love, my love
Outro
Moyoni mwake mi nikae
Nikiwa Naye mi niweze
Kumpa kila atakacho
Written by: Martin Obudho, Muthaka
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...