制作
出演艺人
Rayvanny
声乐
作曲和作词
Rayvanny
词曲作者
制作和工程
Lizer Classic
制作人
歌词
[Verse 1]
Baby mooh, nifanye big G unitafune
Ama niwe sindano nawe, uwe uzi nguo nifume
Amaniwe ndoo, uwe maji yangu na wanune
Nifanye kucha, kama ukiwashwa mi nikukune
[PreChorus]
Sema mama
Niwe duka la vipodozi nikuvutie kwa kila kitu
Chumbani uwe simu unalia hata nikiku beep
Nisimame kama kinyozi nikikunyoa unanisifu
Niwe godoro na shuka nilale na wewe kila usiku
[Chorus]
Shika funguo gari ya bosi wangu
Kwako zezeta, zezeta
Niko radhi nifunge ule wewe
Mimi zezeta, zezeta
Au unataka hata nyumba ya baba yangu
Kwako zezeta, zezeta
Kifaranga nibebe kama mwewe
Mimi zezeta, zezeta
[Verse 2]
Mama sitaki paka na panya vita za nini
Mi nataka niwe mafuta
Ujipakaze kote mwilini eeh
Ama niwe taulo kanga laini
Ukioga ninakufata kutoka juu mpaka kwa chini
[Verse 3]
Maashallah
Ulivyo mwenzako taabani
Naeshimu chumba siendi varandani
Tena sikufanyi vocha solo dukani
Nikutumbie mchumba nikutupe jalalani
[PreChorus]
Sema mama
Niwe duka la vipodozi nikuvutie kwa kila kitu
Chumbani uwe simu unalia hata nikiku beep
Nisimame kama kinyozi nikikunyoa unanisifu
Niwe godoro na shuka nilale na wewe kila usiku
[Chorus]
Shika funguo gari ya bosi wangu
Kwako zezeta, zezeta
Niko radhi nifunge ule wewe, mimi zezeta, zezeta
Au unataka hata nyumba ya baba yangu
Kwako zezeta, zezeta
Kifaranga nibebe kama mwewe, mimi zezeta, zezeta
[Chorus]
Shika funguo gari ya bosi wangu
Kwako zezeta, zezeta
Niko radhi nifunge ule wewe, mimi zezeta zezeta
Au unataka hata nyumba ya baba yangu
Kwako zezeta, zezeta
Kifaranga nibebe kama mwewe
Mimi zezeta, zezeta
[Outro]
(Mashilawadu) Wanyapia-nyapia
(Mashilawadu) Wananyatia-nyatia
(Mashilawadu) Wapate kutangazia
(Mashilawadu) Kuwa makini mama
(Mashilawadu) Wakudandia-dandia
(Mashilawadu) Vya watu kupakazia
(Mashilawadu) Macho funika pazia
(Mashilawadu) Kuwa makini mama eeh, eeh
Written by: Rayvanny