音乐视频

Marioo - Beer Tamu (ft. Tyler ICU, Visca & Abbah Process) (Official Video)REACTION
观看 {artistName} 的 {trackName} 音乐视频

精选于

制作

出演艺人
Marioo
Marioo
表演者
Tyler ICU
Tyler ICU
表演者
Abbah
Abbah
表演者
Visca
Visca
演唱
作曲和作词
Marioo
Marioo
作曲

歌词

Kamata kamata kamata, kamata! Kamata kamata kamata, kamata! Kamata kamata kamata, kamata! Kamata kamata kamata, kamata! Niacheni tu nile bata, zama za kale nishainyeka (Sana) Niacheni tu mi nienjoy, huko zamani nishaumizwa(Sana) Niacheni tu nile bata, zama za kale nishainyeka (Sana) Niacheni tu mi nienjoy, huko zamani nishaumizwa Maisha mafupi baby, ukikunja kunja sura utazeeka Usikunje kunje sura utazeeka Usibane bane sana utazikwa nalo Enjoy life is too short Kamata kamata kamata, kamata! Kamata kamata kamata, kamata! Eti baby wangu anivuruge ubongo Hata kazini kwangu anichanganye kichwa (Mmhh! weeh! sio kweli)Weeh! Beer tamu Asikwambie mtu tu tu beer tamu Beer beer, mitungi beer tamu Ah! Yii! Beer tamu Asikwambie mtu tu tu beer tamu Beer beer, mitungi beer tamu Ah! Yii! Nani kamwaga pombe yangu? Nauliza Eti nani kamwaga pombe yangu? Nauliza Jamani kamwaga pombe yangu? Nauliza Eti nani kamwaga pombe yangu? Nauliza Mi nishalewa, niko chakari nishalewa (Mi nishalewa) Mi nishalewa, nyaka nyaka nishalewa (Mi nishalewa) Mi nishalewa, sijielewi nishalewa (Mi nishalewa) Mi nishalewa, hapa nitazima nishalewa (Mi nishalewa) Kamata kamata kamata, kamata! Kamata kamata kamata, kamata! Eti baby wangu anivuruge ubongo Hata kazini kwangu anichanganye kichwa (Mmhh! weeh! sio kweli)Weeh! Beer tamu Asikwambie mtu tu tu beer tamu Beer beer, mitungi beer tamu Ah! Yii! Beer tamu Asikwambie mtu tu tu beer tamu Beer beer, mitungi beer tamu Ah! Yii!
Writer(s): Marioo Mwanga Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out