制作
歌词
[Verse 1]
(Yogo on the....)
Aah eeh umependeza sana
Wazidi kuniteka mzuri zaidi ya jana
Hata ungekuwa na kasoro tungefanana
Nimekupata wewe mapenzi ya rabana
Wala si utani nikipanga plan uwe ndani
Shida ya shetani awatume tuwe tafrani
Hao punguani hawajui yetu ki undani
Wasikupe imani mbaya mie wako maishani
[PreChorus]
Mama yea yeah, pasha
Bado movie ilo kasha
Nizalie na mapacha
Naomba usahau kukuacha
Mama yeah yeah, pasha
Bado movie ilo kasha
Nizalie na mapacha
Naomba usahau kukuacha
[Chorus]
Let me say eeh, chaguo langu ni-we wewe
Let me pray eeh, nitakufa na wewe, nitadedi na wewe
Niko tayari ndio, ndio, ooh
Niko tayari ndio, ndio, eeh
Niko tayari ndio, ndio, eeh
Niko tayari ndio
Niko tayari ndio, ndio, ndio, ndio, ndio
[Verse 2]
Oyoyo-yo oyoyo yeah eh
Ya Mungu ni mengi
Sikudhani nitapata penzi nimependa wengi
Nilikuwa uwanjani lakini nimevua jersey
Nikang'oa nanga kwenda Bongo nikafika Mbenzi
Nikuone sherri
[Verse 3]
Aliye na macho haambiwi tazama
Yaani toto kaumbika kukukosa itakuwa lawama
Eh na palipo na nia pia pana njia
We ndo wangu malkia tena taji nishakuvisha
[PreChorus]
Ale mama yoo yoo (Washa)
Na mahaba yote (Washa)
Ni zawadi nimepata
Roho imelia mbwata
Aya yoo yoo (Washa)
Na mahaba yote (Washa)
Ni zawadi nimepata
Roho imelia mbwata
[Chorus]
Let me say eeh, chaguo langu ni-we wewe
Let me pray eeh, nitakufa na wewe, nitadedi na wewe
Niko tayari ndio, ndio, ooh
Niko tayari ndio, ndio, eeh
Niko tayari ndio, ndio, eeh
Niko tayari ndio
Niko tayari ndio, ndio, ndio, ndio, ndio
Written by: Ally Kiba, David Maganga, Kenedy Matibya, Savara Mudigi

