音乐视频
音乐视频
制作
出演艺人
Ringtone
表演者
Goodluck Gozbert
表演者
Ringtone Apoko
表演者
作曲和作词
Ringtone Apoko
词曲作者
制作和工程
Still Alive
制作人
歌词
[Intro]
Haijalishi kama umetoka Mwanza aah (Nibarikiwe)
Dar es salaam ama Nairobi Kenya aah (Nibarikiwe)
[Verse 1]
Ni mbali nimetokaa
Tena ni ajabu kuwa hai maana ningeshakufagaa
Ni mengi nimeonaa
Tena ya kuvunja moyo labda ningeshamwacha Munguu
[Verse 2]
Ooh kama ni misongo ya mawazo, magonjwa mama
Nimepitia, ninazoea
Maumivu ya kudharauliwa, umasikini
Ni kila siku, ninajipa moyo
[PreChorus]
Ipo siku yangu tu, ipo si, siku uuh
Ipo siku yangu tu (Nami, niba, niba, nibarikiwee)
Ipo siku yangu tu, ipo si, siku uuh
Ipo siku yangu tu (Nami, niba, niba, nibarikiwee)
[Chorus]
Nami nibarikiwe (Nibarikiwee)
Aah nibarikiwe (Nibarikiwee)
Nami nibarikiwe (Nibarikiwee)
Ooh nami nibarikiwe (Nibarikiwee)
Ooh nibarikiwe (Nibarikiwee)
Ooh nami nibarikiwe (Nibarikiwee, niba, niba, nibarikiwee)
[Verse 3]
Najua Mungu wangu hajalala ndio maana mimi napiga sala
Leo yangu unaeza cheka, dunia nzima imenipiga teke
Lakini mimi siko pekee, Mungu wangu amenibeba
Kama vile tai anainuwa, mwanawe angani
[Verse 4]
Anamuacha apeperuke, akianguka anamu inua
Ako njiani kuniinua, maana time yake imefka
Iye eh, eh
Iye eh, eh
Iye eh, eh
Iye eh, eh
[PreChorus]
Ipo siku yangu tu, ipo si, siku uuh
Ipo siku yangu tu (Nami, niba, niba, nibarikiwee)
Ipo siku yangu tu, ipo si, siku uuh
Ipo siku yangu tu (Nami, niba, niba, nibarikiwee)
[Chorus]
Nami nibarikiwe (Nibarikiwee)
Aah nibarikiwe (Nibarikiwee)
Ooh nami nibarikiwe (Nibarikiwee, niba, niba, nibarikiwee)
Ooh nami nibarikiwe (Nibarikiwee)
Ooh nibarikiwe (Nibarikiwee)
Ooh nami nibarikiwe (Nibarikiwee, niba, niba, nibarikiwee)
[Verse 5]
Miaka imepita, unaombaga mtoto hupati
Vuta subira maana Yeye hachelewi (Ngojaaa)
Ona biashara imeandamwa mikosi hupati
Usimwache Mungu, waganga watakuponza
[Verse 6]
Mpo kwa ndoa ila nyumbani amani hakuna
Msimwache Mungu, michepuko sio jibu
Umeugua tumaini la kupona hakuna
Usimtazame mwanadamu siku yako imekaribia iyeii
[Bridge]
Expiry date (Ayaya)
Ya hizo shida zako (Ayaya)
Imefika leo ndugu (Ayaya)
Usilie amini Mungu (Ayaya)
Expiry date (Ayaya)
Ya hizo shida zako (Ayaya)
Imefika leo ndugu (Ayaya)
Usilie amini Mungu (Ayaya)
[Chorus]
Nawe ubarikiwe (Nibarikiwe)
Ubarikiwe (Nibarikiwe)
Nawe ubarikiwe (Nibarikiwe, niba, niba, nibarikiwee)
Nawe ubarikiwe (Nibarikiwe)
Ubarikiwe (Nibarikiwe)
Nawe ubarikiwe (Nibarikiwe, niba, niba, nibarikiwee)
[Outro]
Nawe, nawe nawe, nawee
Nawe, nawe nawe, nawee
Written by: Ringtone Apoko