制作

出演艺人
Amber Lulu
Amber Lulu
表演者
作曲和作词
Lulu Auggen Mkongwa
Lulu Auggen Mkongwa
词曲作者

歌词

Ukijifanya unapendaga kweli
Mapenzi ya bongo yatakushinda
Nilianza kupendwaga mie
Wachawi wakaja wakaniroga
Mara kuposti mapicha nijitanue
Status insta kote wanijue
Aka kamoyo kadogo
Nusu nijiue
Aiii
Jamani tumuombee dua tu
Aya mapenzi jamani ufala
Nimerudi kuwa bachelor
Mnipokee wanangu maselaa
Eeeh
Tunakuombea dua tu
Shemeji yenu kwanza anakera
Bora nirudi kutafta hela
Nilikuwa nimefungwa jela (Mother f***)
(Eeh tunakuombea dua tu)
Nimeachika eeeh, Nimeachika
Nimeachika jama, Niacheni nilewe
Nimeachika uuh, Nimeachika mama
Nimeachika tena, Acheni nilewe
Nimeachika bwana, Nimeachika tena
Nimeachika jama, Acheni nilewe
Nimeachika bwana, Nimeachika tena
Nimeachika jama
Utaambia nini watu wewee
Nimejaribu kutakasa moyo, we mwenzangu ukaniona poyoyo
Hayo mapenzi yakulambana unyayo, Aku siyawezi
Usinipage mateso ya moyo, Michepuko ninayo kibao
Usidhani nitapiga mihayo, Wala huniumizi
Eti nishindwe kula mimi sababu yamapenzi
Kuonekana boya hayo mambo sitaki
Acha niende zangu mimi mtu mwenyewe hupendeki
Nishajishusha sana lakini huriziki
Oya we tulioachwa tushangilie
Aya mapenzi ni noma nyie
Aya sasa tutambe sie
Tunakesha kama popo
Ili goma la kwetu sie
Leta vitu tukanyagie
Bili zote nalipa mie
Bado tupo mpaka kesho
Aya we nimeachika jama, Nimeachika tena
Nimeachika jama, Aii niacheni nilewe
Nimeachika jama, Nimeachika tena
Nimeachika bwana, Niacheni nilewe
Nimeachika jama, Nimeachika tena
Nimeachika jama
Utaambia nini watu wewee
Hili goma la kwetu sie
Leta vitu tukanyagie
Bili zote nalipa mie
Bado tupo mpaka kesho
Written by: Lulu Auggen Mkongwa
instagramSharePathic_arrow_out

Loading...