制作
出演艺人
Jay Melody
表演者
作曲和作词
Arrington Felix George
作曲
Sharif Saidi Juma
作曲
制作和工程
Jinix66
制作人
歌词
Mumunya au tafuna kitu mwororo
Yakhe saa sita nampatia supu mkongoro
Mama ichuma biryani ya mama choro
Guza hadi mkeka sio kila siku godoro
Aii wewe nimekwisha, ni mapenzi yamenishika
Aii nyinyi nimekwisha, maumivu hasta la vista
Kama kaupara ni upara, saa nasafisha makoto
Na ikiwa vita, fujo vurugu, nashukisha mtotoo
Hizi biashara ndo balaa, baby nishike kwa ungo
Kavalia ushanga alafu chain, kavalia kikuku
Aii wewe nimekwisha, ni mapenzi yamenishika
Aii nyinyi nimekwisha, maumivu hasta la vista
Tangia ya sasa, (Ooh yeah)
Tantwikia sasa, (Ooh yeah)
Utanifanya sasa, (Ooh yeah)
Utanipatia sasa, (Ooh yeah)
Alhabibi, alhabibi
Alhabibi, alkha susi baridi
Alhabibi, alhabibi
Alhabini, alkha susi baridi
Baridi, baridi, aah alkha susi baridi
Written by: Arrington Felix George, Sharif Saidi Juma

